Hii ni baada ya wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA ,
SUZAN MASELLE NA
JOYCE SOKOMBI MMWENZAKE kutangaza kuhama.
Asema, ni zaidi ya kujivua nguo za ndani kumlaumu Mbowe eti wamempa sex, kama wao wapo level ya bunge walishindwa kuripoti PCCB, POLISI au kwa Spika vipi layman ambaye kasoma shule ya kata ama binti wa Shule ya Msingi?
Mtu yeyote aliyewaangalia anajua kabisa ile hotuba wameandikiwa na SLOW SLOW na team ya MATAGA
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_______
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.
Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Usitawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.
Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.
Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.
Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
View attachment 1457468