Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

Mbowe kiboko hata huyu?! Kwa watu wazima tunaelewa, haya maneno sio bure, ni vita ya wivu wa mapenzi.
 
angalia na wewe usije kukana haya maneno yako.
Ndio walivyo hao, kwasasa hata huyu anatafuta namna ya kuonwa na mwenyekiti na kundi lake ili asikose viti maalum! Anasahau uchaguzi huu chadema inaweza ikarudi na wabunge wasiozidi 3 au kwa serikali hii ilivyo wakafyekwa wote. Baada ya uchaguzi ndio wataparanganyika zaidi kwa kukosa kazi za kufanya na huku funds zimekata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamemfuatisha Lijualikali
Zamani kidogo nilikuwa nilikuwa nilifikiri ni mtu ukishakuwa mbunge automatically utakuwa na akili.

Unakubali katumika kirahisi hadi unatia kinyaa

In God we Trust
 
Lawama zote zimwendee chakubanga
Wale akina mama wamejitoa ufahamu.
Walikuwa wapi siku zote kutoa tahadhari juu ya kunyanyaswa kingono? , ina maana walikubali kunyanyaswa kingono ili waendelee na vyeo?

Au ina maana hata huko wanapokwenda wakinyanyaswa tena kingono watavumilia ili mradi kulinda vyeo?

Na je akitokea mtu akataka awanyanyase kingono watakubali ili mradi wapate cheo watakubali ILA tu watamsema baada ya muda wa hicho cheo kuisha?

Kwa kweli wamezitia aibu familia zao, masikini wanawake wale walioshikwa akili na CCM

In God we Trust
 
Aache kukurupuka. Anafanya makusudi kupotosha akijua nyumbu huwa hawatafakari. Wao ni kuzungusha mikono na kuunga mikono.

Hawakusema wamedhalilishwa. Bali walichosema ni kuwa "taratibu za upatikanaji viti maalumu chadema zinatoa mwanya wa udhalilishaji kingono"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale akina mama wamejitoa ufahamu.
Walikuwa wapi siku zote kutoa tahadhari juu ya kunyanyaswa kingono? , ina maana walikubali kunyanyaswa kingono ili waendelee na vyeo?

Au ina maana hata huko wanapokwenda wakinyanyaswa tena kingono watavumilia ili mradi kulinda vyeo?

Na je akitokea mtu akataka awanyanyase kingono watakubali ili mradi wapate cheo watakubali ILA tu watamsema baada ya muda wa hicho cheo kuisha?

Kwa kweli wamezitia aibu familia zao, masikini wanawake wale walioshikwa akili na CCM
Wasikilize vizuri. Wapi wamesema wamedhalilishwa? Acheni uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi kauli zao zinawatokea puani baadae. Chadema mna matatizo makubwa ya ndani mnapaswa kujirudi. Mnaenda kuifanya NCCR chama kikuu cha upinzani kirahisi sana kwa ubishi wa kipumbavu.

Andaeni taasisi huru itakayo kusanya maoni ya wabunge, madiwani na viongozi waandamizi na baadae kutoa mapendekezo wazi na yafanyiwe kazi. Hata ukiwa nje utaona kuna wachache wamegeuka ndio wenye chama na wengine hawapewi kipaumbele.

Baada ya uchaguzi mkuu wapenda mageuzi na wanaharakati watasonga mbele na NCCR na kuwasahau. Acheni kujipa moyo na comments za kwenye social media ambazo haziwezi kuwapa hata udiwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya busara sana kwa wenye akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio walivyo hao, kwasasa hata huyu anatafuta namna ya kuonwa na mwenyekiti na kundi lake ili asikose viti maalum! Anasahau uchaguzi huu chadema inaweza ikarudi na wabunge wasiozidi 3 au kwa serikali hii ilivyo wakafyekwa wote. Baada ya uchaguzi ndio wataparanganyika zaidi kwa kukosa kazi za kufanya na huku funds zimekata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na wale wabunge hawakusema wamenyanyaswa kingono. Bali walidai taratibu za chadema zinatoa nafasi ya unyanyasaji wa kingono. Sasa wameamua kuwazushia.

Kama yeye bingwa, ajibu nondo za Waitara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wale wabunge hawakusema wamenyanyaswa kingono. Bali walidai taratibu za cdm zinatoa nafasi ya unyanyasaji wa kingono. Sasa wameamua kuwazushia.
Kama yeye bingwa,ajibu nondo za Waitara

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana wapo waliodhalilishwa. Wanafikiri kudhalilishwa hadi kulala na mwanamke tu! Halafu fikiria angejitokeza mwanamke kulaani huo udhalilishaji wangemfanya nini hawa ambao mbunge kuamua kwenda bungeni kutimiza wajibu wake anatimuliwa bila hata kuulizwa! Tena akiwemo aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama! Si kichaa hiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa wananchi wameshagundua huu uharamia na matokeo yake watazidi kuichukia CCM.
 
Dunia HADAA kwa kweli. Na pesa Mwana haramu, watu wananunuliwa ili mradi tu wajitoe akili mbele ya jamii. Wanaona ni sawa..!
 
Nami nimeshangaa sana. Bungebi kuna kamati zinazo deal na bullying, kwa nini hawakuripoti huko kwanza?
Zamani kidogo nilikuwa nilikuwa nilifikiri ni mtu ukishakuwa mbunge automatically utakuwa na akili.

Unakubali katumika kirahisi hadi unatia kinyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho chama chenu kwa wote waliomo ina maana wamepta hizo nafasi kwa hisani? Je bila hao wanachama kingeweza kujiendesha kwa kupata ruzuku? Msiwatishe watu, chama kinategemea watu, bila watu hakuna chama, hata wewe unaewasema wenzako huna dhamana na hicho chama kwaibunaweza kutika hata kesho.
 
Ka-Polepole kamewaingiza choo cha kiume kakawafanya kalichowafanya, sasa wanabaki na aibu usoni, namhurukia sana Dr. Sokombi mwalimu wangu pole sana kuwa na mke maamuma namna hii! Kwanza huko alikokimbilia si ndiko wanaligwa pulley kwenye mwenge kama hawana akili nzuri?
 
Back
Top Bottom