Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

Wakati mwingine huwa najiuliza, Takukuru ipo, hizo taasisi za wanawake nyingi tu, hivi mnashindwa kuwakamatisha hao wanyanyasaji tukawaona live wanabanjuka jamanii.

wakati mwingine hata nyie mnakuwa na tamaa ya kuingia mjengoni mnalazimika kujitoa. (Nipe nikupe hiyo)
 
Kafulila is matured enough wengi wa wanasiasa wako desperate hasa mwaka huu wa uchaguzi wako radhi kufanya lolote ili wakumbukwe, Kuna mwita Waitara, lijuakali si waondoke kimya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ni kuwa desperate. Sio kwa chama kama NCCR?? Maana hamna chama hapo.. Bora wangeenda hata ACT. maana kuna chama kinacho eleweka. Yaani utoke CHADEMA uende NCCR? Chama mfu?
Huyo Mbatia mwenyewe hapati ubunge wa jimbo mara hii. Labda kupitia viti vya sketi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh huko. Chadema Kuna Jambo jamani...mtikisiko huu naona ni mkubwa..
 
Huko wamehaidiwa ubunge ndio maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatropia unaonesha umenogewa na ngono za DJ
 
Huyo naye naona mkuyati wa DJ umemkolea, maana Mbowe ni kama mfalme Mswati... Mara anende na Joyce Dubai, mara awaferengue hapa hapa bongo. Hao wanaoona kuwa DJ yupo sahihi kuwatafuna bora wake kimya, wenzao wamechoka kudhalilishwa!
Mara fly to kia baby [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Sura zenyewe ziko wapi za kunyanyaswa kingono.

Wanajidhalilisha tu.
 
Hii ni baada ya wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA , SUZAN MASELLE NA JOYCE SOKOMBI MMWENZAKE kutangaza kuhama.
Asema, ni zaidi ya kujivua nguo za ndani kumlaumu Mbowe eti wamempa sex, kama wao wapo level ya bunge walishindwa kuripoti PCCB, POLISI au kwa Spika vipi layman ambaye kasoma shule ya kata ama binti wa Shule ya Msingi?

Mtu yeyote aliyewaangalia anajua kabisa ile hotuba wameandikiwa na SLOW SLOW na team ya MATAGA


Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_______
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.

Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Usitawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.

Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.

Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.

Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
Your browser is not able to display this video.
 
Hao wanaolalamika kwanza wanatakiwa wafikishwe mahakamani kwa kutoa rushwa ya ngono ili wapate ubunge. Shenzzzz
 
AISEE KUMBE DJ NAE LAMBA LAMBA? INAWEZEKANA HATA WEMA ALIMLA KWELI. HIYO NDO SIFA YA UBAHARIA
 
Habari za kuamka mkuu!
 
Habari za kuamka mkuu!
salama mbatizaji, leo sabato, wabunge hawa wanadai kumpa Mwenyekiti CHADEMA tamuu kwa muda wote walishindwa hata kumsemea kwa waume zao kama kwa spika na polisi waliona aibu?
imagine sasa hivi watoto wao wanawaonaje?

Itabidi waume zao wakapime DNA kuangalia watoto usikute ni wa MWENYEKITI.
Watoto wa hawa wabunge wakimwona mwenyekiti wanajua namna amewanyooshea mama yao, SHAME SHAME SHAME, matumbo yanawaponza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…