Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

SOMO ZURI KWA WALE WOTE AMBAO SI WAKEREKETWA NA CHAMA CHOCHOTE
 
Labda wanataka kumgea na Mbatia.

Biashara matangazo bwashee!
 
Hongera mama kwa kuwaambia ukweli hawa wasiojitambua, kwa akili hii kubwa utafika mbali sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kweli mzee? Wake za watu hao na mmoja wapo ni mke wa Tumaini Makene. Heshima ni kitu cha bure ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Means TMAINI MAKENE KAGONGEWA NA MWENYEKITI.
MWENYEKITI ANAGONGA WOTE VITI VYA KUPEWA?
mimi namshauri Makeni alipe limke lake talaka, maana limefanya zinaa na ni ground ya divorce
 
Kwa hiyo kwa miaka yote mitano walikuwa wanafokolewa na chadema sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
siyo CHADEMA , na MZEE WA ANGA, na kila mbunge viti maalum hotuba anayoandikiwa na POLEPOLE ni hiyo moja , IL wenzao huwa wanakriri ila hawa vilaza wawili WAKAWA WANASOMA KABISA, alafu wanakosea hata herufi kutamka, MEANS MWENYEKITI kala watoto wazuri sana
 
Stupid writing! Anawashauri kwamba walistahili kuyapeleka malalamiko kwenye vyombo vinavyohusika wakati huo anaandika ni aibu watu wazima kusema hadharani mmedhalilishwa kingono! Hata yeye ni mbunge asiyejitambua. Rubbish!
 
Ndio maana bado huwa naamini wanawake hiyo hakisawa wanayodai nafikiri itakuwa madai ya milele. Nataman sn sheria ipite viti maalumu kihudumiwe kwa msimu mmoja tu coz hakuna sababu ya kila msimu mtu mmoja achaguliwe kwenye kiti maalum angali tayar ashawezeshwa kwa huo muhula mmoja.
 
Msimu mmoja wa nini?
mbona mimi nimepambana mpaka hapa nilipo?
Viti maalumu viondolewe, kama tukiona umuhimu tuwape viwete, vipofu na viziwi, mtu mzima kabisa kakalia mlungushi kwa miaka mitano eti leo ndio anakuja ku FRAT hata aibu haoni, basi kama haonei aibu watanzania amuonee aibu MAKENE na wakwe zake
 
Ni vyema Chadema iwe makini na watu inaowapitisha kugombea ubunge,udiwani au viti maalumu ili kuepuka mambo kama haya.

Watu kama kina Selasini ,Lijuakali,Waitara wangeweza kutambuliwa mapema toka awali na wangewekewa pingamizi ndani ya chama ili kuepusha fedheha kama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…