Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Maria Sarungi
NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️

Pole zako kaka Humphrey

Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana!
Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa, mliniona kama adui na kufurahia mateso yangu! Ila nikamwachia yote Mungu 🙏🏽
Leo ndo unashtuka kuwa kuna dhulma na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu!?

Ni sawa yote kheri - as long as utasimama kweli upande wa HAKI na uje utuambie na madhambi YOTE tokea ulipoingia serikalini!

Hakuna tofauti kubwa sana kwenye tawala hizi za Magufuli na Samia labda zaidi ni inner circle ndo imebadilika! Lakini kuna tofauti moja muhimu na uwe makini maana kwa sasa genge hili la Kizimkazi ni hatari zaidi yenu - kwao damu za watu na utesaji ni suna - ni mashetani wanywa damu! Just for the fun of it wanaweza kukuteka na kukufanyia lolote baya! Dark souls!

Wapendwa ndo maana nawaambia bila stress #TutaelewanaTu

Lema

1752426688991.jpeg


1752426929174.jpeg
 
Hadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.

Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Wapinzani wenyewe ndio hawa chauma na mke mwenza Act au kuna wapinzani wengine ?
 
Hadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.

Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Hilo pia linawezekana ila kwa uongozi wa kizanzibar wa huyo mama, hii vita ni real
 
Simpendi kabisa Polepole hasa kutokana na ushirika wake wa kishetani na Jiwe, Lakini angalau Nampongeza kwa kumkataa Shetani japo amechelewa sana
viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi wanazidi kutoa darasa la demokrasia kwa vitendo ndugu
 
Ila uyu jamaa Ana tumacho tudogo sana

Kuna tafsiri inanijia hapa ila sitaki kusema, ila hongera yake
 
Back
Top Bottom