Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
Hili kumsahau Tundu Lissu au Askofu Josephat Gwajima haliwezekani nduguCCM ni hatari sana... kwasasa CHADEMA tunaweza kumsahau Lissu na uchaguzi huo... USICHEZE NA ALIE KUTANGULIA
Na kwa taarifa yako, kinachoendelea huko CCM ni matokeo ya mshindo wa vuguvugu la moto wa No Reforms No Election chini ya uongozi wa CHADEMA ya Tundu Lissu ambao unawafanya watafunane wao kwa wao ndani mwao na mgawanyiko utaotokea hapo, malengo ya Tundu Lissu na CHADEMA to bring this dude down to hell yanakuwa fulfilled
Hii haiwezi kuwa kama ya 2015. Hii ya sasa watu wako very serious na macho saba. Hii ya sasa ni nyundo ya kuiondoa na kuipoteza CCM kabisa ktk ramani za siasa za Bongo!
Utabiri wa Mwl Nyerere unatimia mwaka huu, kwamba anguko la utawala wa CCM utatoka ndani ya CCM humohumo na kuja huku nje
Wazinzibar wakiongozwa na huyu mama Kizimkazi ndio watakao maliza mchezo huu forever huku wao bila kujua wakidhani kuwa wanaimarisha domination dhidi ya Tanganyika