Punguza makasiriko mkuu huenda utaona vizuri mwanga kuliko kukaa na kibanzi machoni mkuuSimpendi kabisa Polepole hasa kutokana na ushirika wake wa kishetani na Jiwe, Lakini angalau Nampongeza kwa kumkataa Shetani japo amechelewa sana
Nenda akakuoe.Huyu polepole kwanini haja oa?
Si ndio walimkuta na mafut ya ky
Wapinzani wenyewe ndio hawa chauma na mke mwenza Act au kuna wapinzani wengine ?Hadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.
Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Hilo pia linawezekana ila kwa uongozi wa kizanzibar wa huyo mama, hii vita ni realHadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.
Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Ndio hao hao.Wapinzani wenyewe ndio hawa chauma na mke mwenza Act au kuna wapinzani wengine ?
Mmmh sidhani, huijui CCM weyee, LolHilo pia linawezekana ila kwa uongozi wa kizanzibar wa huyo mama, hii vita ni real
Jipige dole gumba basi, ili tujue kama una hasiraSimpendi kabisa Polepole hasa kutokana na ushirika wake wa kishetani na Jiwe, Lakini angalau Nampongeza kwa kumkataa Shetani japo amechelewa sana
viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi wanazidi kutoa darasa la demokrasia kwa vitendo nduguSimpendi kabisa Polepole hasa kutokana na ushirika wake wa kishetani na Jiwe, Lakini angalau Nampongeza kwa kumkataa Shetani japo amechelewa sana
Hao ni wahuni tu.Ndio hao hao.