Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

Ila boni😀😀
 
Ccm Wanajua Sana Kupangilia Matukio...Wiki Hii Yote Itakuwa Habari Ya Barua Ya Polepole Tu Kwenye Sosho Media...
 
Hadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.

Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Ghafla anaenda ACT kama alivyofsnya Marehemu Membe, baada ya uchaguzi anarudi ccm, CCM wana sarakasi nyingi sana
 
CCM ni hatari sana... kwasasa CHADEMA tunaweza kumsahau Lissu na uchaguzi huo... USICHEZE NA ALIE KUTANGULIA
 
How it is started ... How it is going...!
Your browser is not able to display this video.
 
Ukuje uwachokonoe wahuni watoke mapangoni.na kuwapa lile darasq la siasa.
 
CHADEMA wakija kushtuka uchaguzi unakuwa umefanyika huku ushuzi wao wa NRNE ukisahaulika. CCM ndo huamua nini kizungumzwe ndani ya CHADEMA. Kampeni za kipumbavu kama NRNE huwa ni rahisi sana kuzipoteza.
 
Pole pole amefanya jambo ambalo wengi hawawezi kufanya ila awe makini na tai weusi wasije waka MPALUKA NYAGALI.
 
Andiko la Maria Sarungi nimelielewa zaidi...

Hata hivyo wanasiasa wanajulikana kwa tabia za kubadilika badilika kama vinyonga kwa maslahi yao binafsi na magodfathers wao...
 
Simpendi kabisa Polepole hasa kutokana na ushirika wake wa kishetani na Jiwe, Lakini angalau Nampongeza kwa kumkataa Shetani japo amechelewa sana
Anakuja kuchangamsha uchaguzi. Jiandaeni kumuunga mkono
 
Hadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.

Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Kuna mtu nimemjibu kuwa hawa watu sio wa kuamini, hasa huyo Polepole maana ni kigeugeu. Nakumbuka imani yetu kwake kwenye kwenye tume ya jaji Warioba, na jinsi alivyogeuka akaendesha siasa za kishenzi sana wakati wa Magufuli. Ni vigumu sana kumuamini mtu wa aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…