Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

Andiko la Maria Sarungi nimelielewa zaidi...

Hata hivyo wanasiasa wanajulikana kwa tabia za kubadilika badilika kama vinyonga kwa maslahi yao binafsi na magodfathers wao...
Huenda hata sasa Polepole kabadilika kwa maslahi yake binafsi.
 
Ila uyu jamaa Ana tumacho tudogo sana

Kuna tafsiri inanijia hapa ila sitaki kusema, ila hongera yake
Daah imebidi nirudi kumkagua hayo macho madogo sana nimecheka sana wahuni sio watu..
 
Hadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.

Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Nakubaliana na wewe, hii mara nyingi huwa ni michezo yao.

Watanzania tunatakiwa kuwa na akili kumkichwa na kujipambania wenyewe, hawa wanasiasa lao moja na hii ndiyo kazi yao.
 
Andiko la Maria Sarungi nimelielewa zaidi...

Hata hivyo wanasiasa wanajulikana kwa tabia za kubadilika badilika kama vinyonga kwa maslahi yao binafsi na magodfathers wao...
Upo sahihi Mkuu.
 
I am Not a qualified politician!, but i can read between the lines! And Am ready to give this injection...!

Kuna fukuto la chini chini CCM, mbeleko ya msoga kwa mama inaelekea kumuelemea!

WanaCcm wengi hawakubaliani na kukiukwa kwa taratibu ... KUNA NAMNA UTAITWA TENA MKUTANO MKUU WA DHARULA!

Mwambieni Mama Ukweli! MTAANI HAKUBALIKI HATA KWA 1%! ANALINDWA NA DOLA TU!
Heri ukweli mchungu, kuliko uongo unaopigwa Pasi unyooke!

Muda utaongea!

Voice populi, voice dei!
 
Hakuna tofauti kubwa sana kwenye tawala hizi za Magufuli na Samia labda zaidi ni inner circle ndo imebadilika!
🎯🎯🎯😅👊
 
Lucas Mwashambwa anashangaa iweje jamaa huyu aache heshima ya ubalozi? Anatamani avunje protocol, aruke kuta za magogoni, atumie cheo chake cha "Senior Lice" au "Chawa Mwandamizi" apeleke sifa na mapambio ya udanganyifu na ulaghai kwa Kizimkazi Jezebel ziwe kama ushawishi kuomba akarithi ubalozi wa Mr SlowSlow - Havana Cuba...

Na huyu mama Chura Kiziwi alivyo empty set kichwani, hawezi hata kujua kuwa Lucas Mwashambwa hata ABC zozote za diplomasia ya kimataifa, lakini kwa sbb ni chawa wake, watu dizaini ya huyu Chawa Mwandamizi hapa jamvini wanaweza kujikuta wamepewa nafasi kama hii...

Bahati mbaya ni kuwa, gundu la Lucas Mwashambwa ni kama la mzee wetu ndugu Pascal Mayalla ambaye pamoja na kufanya kila awezalo kuwapa promo mafia au ma - godfather wa CCM, bahati ya uteuzi haijawahi kuwaangukia..

Mzee wetu Pascal Mayalla mwaka 2020 kwenye kura za maoni ya kuteuliwa ugombea ubunge Jimbo la Kawe ndani ya CCM aliambulia kura 1 kati ya wajumbe mamia kadhaa🤔

That was too bad 😞 😞 😞 for the guy...
 
Andiko la Maria Sarungi nimelielewa zaidi...

Hata hivyo wanasiasa wanajulikana kwa tabia za kubadilika badilika kama vinyonga kwa maslahi yao binafsi na magodfathers wao...
Kila mwanadamu kwa asili yupo after maslahi yake binafsi. Isipokuwa the number of people being affected negatively or positively by hayo maslahi binafsi kati ya mtu na mtu ndiyo ina differ.
 
Hadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.

Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Hakuna drama za namna hiyo yani mwakilishi wa Rais kimataifa ajiuzulu kwa kutokuwa na imani na serikali yake, damage yake ni kubwa sana sio rahisi iwe drama
 
Simpendi kabisa Polepole hasa kutokana na ushirika wake wa kishetani na Jiwe, Lakini angalau Nampongeza kwa kumkataa Shetani japo amechelewa sana
Fine, lakini undani wake hatuujui! Ni kweli, suppose anakuwa rais akiingia madarakani na washikaji wake akina Bashil, Kabudi et al hatakuwa kama magufuli?
 
Acha dharau zako wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…