Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
Hili kumsahau Tundu Lissu au Askofu Josephat Gwajima haliwezekani nduguCCM ni hatari sana... kwasasa CHADEMA tunaweza kumsahau Lissu na uchaguzi huo... USICHEZE NA ALIE KUTANGULIA
Ona ssa akili zetu acha watutawale tu no wayHuyu polepole kwanini haja oa?
Si ndio walimkuta na mafut ya ky
MAJINIkwao damu za watu na utesaji ni suna - ni mashetani wanywa damu!
Wee Dada wapi nimetoa matusi jamani? Kwa hiyo ukitaka kumwambia mtu kwa ishara kuwa OK, Powaaa au Sawa ukatumia ishara ya Dole Gumba ndio unakuwa umemtukana?matusi ya nini sasa? Mwombe radhi
Isome kwanza barua ya polepole ndo uje na hiyo hofu yako. Barua imechafua pakubwa sanaHadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.
Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Nimecheka kwa sauti.. Eti bichwa lake kubwa.... 🤣🤣🤣🤣🤣Mie nataka kuona LUCAS MSAMBWANDA ANASEMAJE KWELI HILI NA BICHWA LAKE KMA EMBE BICHI
Hii hapana, huwezi toa serious accusations kama hizo afu eti iwe drama tu.Hadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.
Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
Atasema mama ametufikia mi5 tena Kwa mamaMie nataka kuona LUCAS MSAMBWANDA ANASEMAJE KWELI HILI NA BICHWA LAKE KMA EMBE BICHI
Sio wanajifanya hawapo pamojaHadi dkk hii bado siamini hizi heka heka za hawa watu
.
Hizi ni hadaa, CCM huwa wanajifanya hawako Pa1 wakati wa kuelekea uchaguzi ili kuwapumbaza wapinzani.
Uchaguzi ukiisha, wanakua lao 1 na kusonga mbele.
Tuwe makini na hizi dramaa. Lol
harafu anakufa kama MembeGhafla anaenda ACT kama alivyofsnya Marehemu Membe, baada ya uchaguzi anarudi ccm, CCM wana sarakasi nyingi sana
Huyu mama angepumzika anatumia nguvu na pesa nyingi kwa mambo yasiyokubalika......Dr. mpango alisha .kataa, mangula, warioba, gwaji, tec , na wengine kibao ccm.....anaamisha mali toka bara kwenda zenji ndio kutwa kuuza kuweka dhamana mali za huku baraMaria Sarungi
NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️
Pole zako kaka Humphrey
Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana!
Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa, mliniona kama adui na kufurahia mateso yangu! Ila nikamwachia yote Mungu 🙏🏽
Leo ndo unashtuka kuwa kuna dhulma na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu!?
Ni sawa yote kheri - as long as utasimama kweli upande wa HAKI na uje utuambie na madhambi YOTE tokea ulipoingia serikalini!
Hakuna tofauti kubwa sana kwenye tawala hizi za Magufuli na Samia labda zaidi ni inner circle ndo imebadilika! Lakini kuna tofauti moja muhimu na uwe makini maana kwa sasa genge hili la Kizimkazi ni hatari zaidi yenu - kwao damu za watu na utesaji ni suna - ni mashetani wanywa damu! Just for the fun of it wanaweza kukuteka na kukufanyia lolote baya! Dark souls!
Wapendwa ndo maana nawaambia bila stress #TutaelewanaTu
Lema
View attachment 3404708
View attachment 3404719