Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Karibu KKKT
 
Wakikujibu hasa namba 4 unitagi
 
Mkuu, hii mpya kwangu. Wanataja yes?
 
Tatizo baadhi ya mafundisho yao niyauongo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hunizidi Mimi
Kuna siku walikua wanachangisha michango wajenge kanisa...bas ikaandaliwa sherehe na mm siku hiyi nikaalikwa nikaenda...yaan siwez sema ni ushamba ila michqngo inachangishwa kwa njia chafu balaa..
Anachaguliwa mwanamke mwenye msambwanda...iwe ameolewa au hajaolewa poa tu....anawekewa mziki....anaanza kata mauno..kwahy men anayetaka kumshika kiuno lazima atoe hela ndefu...imagine...au anachukuliwa mke wa mtu na mume wa mtu anasema leo wangari hatarudi hom kwa mumewe had nipewe laki 5..bas hapo zitachangwa laki 5 ! Mie sion upako kabisa jamani...aibu mno...wanaume wanabambia tu wanawake kisa eti wamelewa...niliudhika
 
Nilijua nitakupata kwenye mada hii shangazi yangu 😁!.
Mie sina imani hiyoo...lakini akilini kwangu sda is the best ..sina imani ya kuhamisha mlima lakini wasabato ni superb!ingawa wana mapungufu yao ila ni bora
 
Hao ni satanic believers
 
Ambayo ipoje?
Kwanza kabisa, zaka ya mali Kiislam ni ile mali iliyokaa kama akiba, bila kutumika kwa mwaka mzima, hiyo ndio unaitolea zaka ambayo ni asilimia mbili na nusu tu.

Na makundi yalioainishwa kupokea zaka. Si muhimu kupeleka msikitini na haupaswi msikiti kuulizia zaka.
 
All Evangelist Assemblies of God yapo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…