- Thread starter
- #261
WapiUko serious?!! Kuna sehem moja ina hzo sifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WapiUko serious?!! Kuna sehem moja ina hzo sifa
Tafuta sana kujazwa na Roho wa Mungu...Pombe
Aje wapi?usizunguke zunguke ndugu.. Njoo tuungame ubatizo mmoja wa maondoleo ya dhambi,tusubirie ufufuko wa wafu na uzima wa milele ijayo.
Mwanakondoo wa Mungu aondoaye dhambi za ulimwengu atakuhurumia
Bwana awe nanyi nyote....[emoji7]
Wapi
Au mifuko ya simba cement na mabench ya mabanzi,umeliwa!Ukiona kanisa linatumia maturubai na viti vya plastiki ujue umeshapigwa.
Mimi kwa maoni yangu kanisa ambalo unaweza kuliamini ni biblia ambayo ni muongozo wa roho ya mwnadamu kuingia mbinguni na ukisoma biblia vizuri ukaielewa na ukafuata yale yaliyoagizwa utakuwa mtu mmoja safi sana maana utamuomba Mungu aliyehai na kufuata yeye alichokifundisha.Nasema hivi kwa sababu makanisa mengu hivi leo yanaubinafsi, na kujinufaisha na maigizo mengi amabayo ni hopeless na wala hayakufikishi popote kama lengo lako ni kuwa karibu na munguKusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Peleka upuuzi huko mnafiki wewe haumjui hata Roho Mtakatifu ni nani unaongozwa na hisia badala ya imaniTafuta sana kujazwa na Roho wa Mungu...
Hautatamani hata kusikia harufu yake
Hahaha usipaniki stephen... Onesha unafiki u wapi hapo?Peleka upuuzi huko mnafiki wewe haumjui hata Roho Mtakatifu ni nani unaongozwa na hisia badala ya imani
Biblia imeandikwa na nani akiongozwa na nani??Hahaha usipaniki stephen... Onesha unafiki u wapi hapo?
Hujaonesha unafiki u wapi pale katika post #262 then nitakujibuBiblia imeandikwa na nani akiongozwa na nani??
Unafiki ni pale unapothubutu kujiona bora na kuijua Biblia kuliko yeye aliyeandika.Mbaya zaidi inaonekana hauna ufahamu juu ya Roho Mtakatifu bali unaongozwa na hisia.Hujaonesha unafiki u wapi pale katika post #262 then nitakujibu
Waefeso 5:18 kuwa "Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho"Unafiki ni pale unapothubutu kujiona bora na kuijua Biblia kuliko yeye aliyeandika.Mbaya zaidi inaonekana hauna ufahamu juu ya Roho Mtakatifu bali unaongozwa na hisia.
Biblia imeandikwa na nani akiongozwa na nani??
1 Tim 5:23 SUVWaefeso 5:18 kuwa "Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho"
unaielewaje?
HakunagaKusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Jibu swali uliza swali1 Tim 5:23 SUV
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Unaielewaje?
na hauwezi kulielewa haliendeshwi kwa mihemko na miujiza inayoonekana kwa macho ya wanadamu. miujiza inaweza kuwepo lakini sio misingi ya imani ya waumini.😀😀 yaani katika kanisa ambalo sijalielewa ni hilo aise. Mh!😷