Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Great thinkers.

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane.

Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko..

Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya kwenda Tanga baada ya Tuliani. Sehemu nyingine ni miono baada ya msata sijui kama ni kweli

Karibuni
Asanteni.
 
U
Un
ataka kwa shughuli ipi au kilimo kipi nikukalibishe njombe
 
Njoo Dodoma kuna heka kibao,mazao ni mahindi,ufuta, maharage,Alizeti,Zabibu,mpunga,Uwele,Njugu,Karanga,Mama,Mahindi,Korosho bila kusahau Mboga Mboga nk.
 
Ukihangaika utapata hata kwa laki 1 ila kuna vitu inabidi uzingatie
Mashamba huwa yako mbali saana hivyo si Ashlabu ukakutana na changamoto za
1. Accessibility
2.Wanyama Wakalli
3. Wizi/Usalama

Kuna jamaa kanunua eka 50 laki 3 kwa ekari jumla 15m. Lakini ni takriban km 35 kutoka Kilwa road, na hivi vi Baby Walker vyetu tunavyotanua navyo Magomeni havimalizi hata km 10 kwa jinsi njia ilivyo mbovu, katika miezi 12 ana uwezo kuingia shambani kwa muda wa miezi 8 tu, miezi 4 iliyobaki hakuingiliki shambani
 
Sawa boss asante kwa ushauri
 
Karibu Mpui unapata hata kwa 50,000....ulizia Mwenyekiti Chengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…