Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
Anayefahamu kilichomkuta huyu mtu atujuze. Tangu ajiapishe baada ya uchaguzi hajasafiri mpaka sasa, na sio jambo la kawaida kabisa.
Nini kimemfanya akose appetite ya kuzurula huko nje, kama ilivyo ada yake? š
Nini kimemfanya akose appetite ya kuzurula huko nje, kama ilivyo ada yake? š