Anayefahamu Rais kapatwa na nini atuambie. Si kawaida yake kutosafiri nje ya nchi kwa muda mrefu hivi

Anayefahamu Rais kapatwa na nini atuambie. Si kawaida yake kutosafiri nje ya nchi kwa muda mrefu hivi

Anayefahamu kilichomkuta huyu mtu atujuze. Tangu ajiapishe baada ya uchaguzi hajasafiri mpaka sasa, na sio jambo la kawaida kabisa.

Nini kimemfanya akose appetite ya kuzurula huko nje, kama ilivyo ada yake? 😁
Sasa akienda huko si watamshangaa na watamuuliza kuhusu mauji labda aende CHINA, RUSSIA na nchi za kiarabu.
 
Ni mke wa mtu yule yuko kwenye majukumu yakifamilia
 
Kuwa na Mzee kama Kikwete bora kukosa. Taifa kwa sasa halina mtu mwenye nguvu anaeweza kulitetea lisianguke.
 
Kuna lile nyomi lake likikwea mwewe mpaka wengine wanasimama kama vile wapo kwenye mwendokasi huko walipo wanatukana sana.
 
Back
Top Bottom