Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 567
- 1,120
Alue
Anayefahamu kilichomkuta huyu mtu atujuze. Tangu ajiapishe baada ya uchaguzi hajasafiri mpaka sasa, na sio jambo la kawaida kabisa.
Nini kimemfanya akose appetite ya kuzurula huko nje, kama ilivyo ada yake?
Alienda nchini Zanzibar.Anayefahamu kilichomkuta huyu mtu atujuze. Tangu ajiapishe baada ya uchaguzi hajasafiri mpaka sasa, na sio jambo la kawaida kabisa.
Nini kimemfanya akose appetite ya kuzurula huko nje, kama ilivyo ada yake? 😁