House4Sale Anayehitaji kununua apartment Upanga

Serious business itakulazimu kutaja ukubwa wa vyumba idadi floor na kadhalika. Mwenye interest ya kuona anakuwa na idea ya nini anaenda kuangalia.
 

Apige picha,anataka kutapeli watu.
 
INA FLOOR 14 , SQUARE METER 130, INA LIFT, MAJI , UMEME STANDING BY GENERATOR
 

Attachments

  • 15935182_1241598652596782_2129157914_o.jpg
    45.7 KB · Views: 58
  • 15935117_1241598679263446_1817488689_o.jpg
    57.2 KB · Views: 61
  • 15935505_1241598339263480_1416464224_o.jpg
    44.7 KB · Views: 54
  • 15966883_1241598295930151_2133903174_o.jpg
    45.8 KB · Views: 60
Watu wanauliza bei ya kununua apartment UPANGA Mbona bei zinajulikana hiyo apartment kwa uchache wa BEI inaweza kuanzia DOLA LAKI NA NUSU AU ZAID$150,000 .

Ukweli ni zawatu matajiri tu hakuna middle class anayeweza kuafford hapo otherwise.... wawe vibossile wa serikal ndio wenye uwezo wa kununua hapo.
 
Duniani kote bei za nyumba uweka hadharani sijui why Watanzania atuna tabia hii. please weka bei

Ukiona hivyo Mkuu ujue kuna udalali hapo. Waache maneno waweke bei ndo mpango!
 
Km hamuko tayari kuweka bei ,next time usiweke matangazo yk huku peleka KUPATANA ndio panapokufaa ww
 
YOUR MOST WELCOME! BUT COULD YOU COME TO THE OFFICE PLEASE! SO THAT WE CAN DISCUSS ABOUT THE PRICE! THANK YOU!
We ni mwizi au dalali? Unafanya biashara usiyojua? Unataka mtu aje umroge kwanza ndo useme bei ili asikatae?

Acha longo longo sema bei kama kweli upo Serious, mi nipo kigali nipande gari kuja Dar kuona apartment? Fool
 
Tangazo bovu kabisa hili.
So hujui idadi ya vyumba from each apartment?
Na hujui zinaanzia floor ya ngapi mpaka ya ngapi?
Hujui starting price?
Ebu acha uboya,weka tangazo lake veme ili kupunguza idadi ya maswali wewe!!!!
 
Km hamuko tayari kuweka bei ,next time usiweke matangazo yk huku peleka KUPATANA ndio panapokufaa ww
We ni mwizi au dalali? Unafanya biashara usiyojua? Unataka mtu aje umroge kwanza ndo useme bei ili asikatae?

Acha longo longo sema bei kama kweli upo Serious, mi nipo kigali nipande gari kuja Dar kuona apartment? Fool
THANK YOU
 
Kwahiyo hamna bei maalamu mpaka mteja afike ndio mujadiliane naye bei? [emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…