House4Sale Anayehitaji kununua apartment Upanga

Unajua kwanini hawezi kuweka bei!?kula take unategemea matangazo na matangazo yawe na na mrejesho!!kma hamjafika physically hawezi kuonekana kama anafanya kazi,
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Huu ni upuuzi unaulizwa bei unaleta uswahili basi kaa nayo umekariri unadhani watu wote wanaushi Dar es salaam akili za madalali bwana utazijua tu ,dalali hua hajifichi
 
Upuuzi mtupu kuweka bei unaona shida gani?

Mpigaji tu wewe.
 
Masharti ya kutoweka bei hadharani kapewa na mmiliki ili kukwepa kodi tuu hapo hakuna kingine na kama jengo ni la Mchina ndio kabisaa...
 
Ukanjanja huu na udalali weka bei fanya kitu kitaalamu zaidi ndugu
 
>> SAFI SAANA vyumba Vikubwa ,vina Nafasi NZURI saana Yaani ni KUJIDODA tu mwenyewe >>
 
Huyu sio muhusika atakuwa kishoka.
Bei sio siri
 
Kama hutaki kutaja bei, au utaki kuweka bei ya chini na ya juu basi panga mwenyewe
 
Jamani bei ina range Kama ifuatavyo
Bei ya chini kabisa milioni 800.
Bei ya juu kabisa Billion 7.
Ila bei hizo zinapungua kidogo.
I hope mumenielewa.
Asanteni sana.
 
Huyu jamaa naona ni dalali uchwara, wenye jengo lao wamebandika bei zote kwenye website za RealEstate, sasa yeye naona ni wale wanaotaka kulazimisha umuone ili akupige "hela ya kuonyeshwa".

ingieni huku kila kitu kipo: Apartment for Sale at Ivory Tower Upanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…