Anayejiita Geoffrey Kiliba, Rais wa TAHLISO, sio mwanafunzi wa Chuo Kikuu au cha Kati chochote

Anayejiita Geoffrey Kiliba, Rais wa TAHLISO, sio mwanafunzi wa Chuo Kikuu au cha Kati chochote

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !.

Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa .

Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la Vijana wahuni wahuni Opportunists, Baadae wakajivika Uongozi wa TAHLISO Rasimi .

Kanaendesha Kampeni za kichawa Chawa kutetea Samia na genge lake Kwa Mgongo wa TAHLISO.

Siku yake yaja !! Mwambieni popote alipo, Tanzania ya Sasa Ina Vijana Wasomi, hao wanaomtuma, Kwa ahadi za UDC, UDAS , Tanzania ijayo haitaruhusu hayo
 
Back
Top Bottom