Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hoja hapaz TAHLISO inaongozwaje na MTU ambaye sio mwanafunzi??Ni utoto kwa jukwaa kama hili kuanzisha thread kumzungumzia mwanafunzi wa chuo
Kitendo cha wewe kuuliza swali kama hili kinaonyesha una akili ndogo sana.Hoja hapaz TAHLISO inaongozwaje na MTU ambaye sio mwanafunzi??
Inatakiwa kujadili kiumbe/mtu wa kuanzia daraja lipi mkuu?Kitendo cha wewe kuuliza swali kama hili kinaonyesha una akili ndogo sana.
Hili jukwaa sio level za kujadili mwanafunzi wa chuo.
Punguza utoto
Mkuu mbona kama ni wewe hujo jamaa ,maana umetoa mapovu haujaelewa hata mada !Kitendo cha wewe kuuliza swali kama hili kinaonyesha una akili ndogo sana.
Hili jukwaa sio level za kujadili mwanafunzi wa chuo.
Punguza utoto
TAHLISO wenyewe wamekubalije kuongozwa na mtu asiye mwanachuo? Hapo tatizo anayeongoza au wanaoongozwa!!Hoja hapaz TAHLISO inaongozwaje na MTU ambaye sio mwanafunzi??
Hahahahahaa ebu kausha kakaUjinga ujinga..
Kwanza huo.umoja una mambo ya ajabu sana kuna mengi yanaendelea huko kwa group ila ngoja nikaushe tuu
Seriously mkuu...Hahahahahaa ebu kausha kaka
Umeshaambiwa sio MwanachuoNi utoto kwa jukwaa kama hili kuanzisha thread kumzungumzia mwanafunzi wa chuo
Sahivi nimetulia nasubiria nile nilale tu,Seriously mkuu...
Kama wewe sio green in nature uwezi toboa kule...
Ukijifanya ww unajua sana wanakuungia
Sasa mwanafunzi anaingilia uchaguzi huoni point hapo? Hala inadaiwa siyo mwanafuzi. Uoni ana influence?Kitendo cha wewe kuuliza swali kama hili kinaonyesha una akili ndogo sana.
Hili jukwaa sio level za kujadili mwanafunzi wa chuo.
Punguza utoto
Anasomea wapi?Ni mwanafunzi wa DIT ila unamuona chuo kupindi cha mtihani Tu....
Mi kwa sasa nataka nitongoze mtt wa mwenye nyumba mana yeye ndo anakusanya kodiSahivi nimetulia nasubiria nile nilale tu,