Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

Ajabu
 
Sidhani kama kuna chochote anachomaanisha.

Uwezekano mkubwa itakuwa hiyo account iliyoandika hayo sio yake au ni yake lakini imeingiliwa inaandikwa na watu wengine bila yeye kujua

Kama yeye ndio anaeandika basi amechoka kazi hivyo anatafuta sababu afukuzwe akapumzike
 
Dah!
Hiyo mistari minne chini ya jina la Dr.Wilbroad Slaa, mbona yanazungusha kichwa!

Shetani huwa wakuja kwa njia mbalimbali. Sijui kwa nini Mungu aliwapa uwezo mkubwa kiasi hicho!
 
Samia "amewanyamazisha kabisa wapinzani"?
Una maana wapinzani ni ACT, au siyo?
 
Usipotoshe Dr Slaa hakumleta Lowassa Chadema...yupo aliyemleta na aliyepokea fedha....hiyo dhambi inaitesa Chadema mpaka leo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu mzee Milembe inanihusu, anatafuta fulsa KWa nguvu Sana aisee
 
Toka mwenyekiti aseme amebadili 'gia angani' na kumkaribisha lowasa, pale pale chama kilionekana ni cha kihuni, tamaa na upumbavu sana.
Ni nani saizi ataandamana pale chadema? Dhambi ya usaliti imewarudia kwenye wabunge 19 akina mama.
Dhambi hii itawatesa sana
 
Hiki ndicho anachopigania Dr Slaa ?
 
Samia "amewanyamazisha kabisa wapinzani"?
Una maana wapinzani ni ACT, au siyo?
Kwa kiasi kikubwa ni kweli kuwa ACT ndiyo wapinzani kwa sababu ya idadi ya wabunge, lakini hata CHADEMA sasa hivi hwana ajenda tena. Ule mkwara waliokuwa wanampigia Magufuli hawana ubavu wa kufanya hivyo kwa mama kwa vile wanataka kuwa kama wanauma na kupuliza, ila wanakuwa wanapuliza kwa nguvu sana kuliko ile nguvu ya kuuma.
 
Hugo mbaba kwa sasa anazidiwa akili na yule babu wa kiraracha aliyeoa binti mweupe eti wa kumsaidia hadi chumbani
 
Kabisa Pakawa! Umesema kweli tupu! Anamwita jiwe baba! Njaa haina adabu!
 
Dah uchumia tumbo mbaya sana eti baba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…