CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #41
Njoo sema hapa ipi ni namba ya Uongo,Hizo namba zenu za porojo na mama yako zisizo na uhalisia ndio zinakufanya usifie usiku na mchana..
Kwani lumumba dau si wameshakupandishia?
Mstari gani huo chief?Mungu Ha Rehemu Waovu
Mstari gani huo chief?
Mungu anamwambia Nabii Isaya kuwa "dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama sufu " hii imekaaje?Mithali 3:33
Laana Ya Mungu I Katika Nyumba Ya Waovu
Ila wenzako wengi wameielewa vizuri,Umeandika UPUUZI tu hakuna chochote Cha maana hapo umeishia kurudia rudia tu mifano yako ya hovyo na sijui hata Hoja yako ya kumtetea mama yako ulitaka iwasilisha vipi. Kifupi ni UPUUZI m tupu umeandika hapa
Mungu anamwambia Nabii Isaya kuwa "dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama sufu " hii imekaaje?
Vividical..????Namba tangu lini inatafsida wee mtu?
So far mimi sijawahi kusifia Mtu hapa zaidi ya kueleza fact tena with a vividical evidence
Daaah,Unaongea wewe kama Nani?Zambi Za Jiwe Hazisafishiki
Sasa mbona Rais anampita karibu katika kila sekta,Vividical..????
Kilugha gani hiki? Baki na kiswahili lugha mama. Btw Magu hana wa kumlinganisha nae kwa sasa...alikuwa kwenye ligi yake peke yake itachukua miaka kumpata kama yeye tena
ni mama au Mama? Sijakupata Mkuu? (jokes)Wewe mama tumeishakugundua, acha kujisifia ujinga. Urais unakupwayq
Chadema hao ni shida ila kwa ubishi duuuhni mama au Mama? Sijakupata Mkuu? (jokes)
=====
Ebu mkuu changia hoja zake tafadhali.
Daaah,Unaongea wewe kama Nani?
Vividical..????
Kilugha gani hiki? Baki na kiswahili lugha mama. Btw Magu hana wa kumlinganisha nae kwa sasa...alikuwa kwenye ligi yake peke yake itachukua miaka kumpata kama yeye tena
Wale walio_edit gazeti la kule Scotland unataka kusema walikuwa wanafanya kazi burebure tu!? Hapana , nakataa.Yes leteni hizo fact tujadili, CCM hakuna anayelipwa ni Uzalendo kwa Taifa na Rais wetu,
Your titles normally define your capabilities mentally, am sorry to sayNamba tangu lini inatafsida wee mtu?
So far mimi sijawahi kusifia Mtu hapa zaidi ya kueleza fact tena with a vividical evidence
Tateseka sanaaa 🤣Wewe na nani? sema viongozi wako wapendwa;
JPM all day any day....Mama ninamtakia utendajj mwema ila uhalisia hasa wa legacy yake Viz-a-viz performance yake katika indicators zozote utazochagua itakuwa ni 2030 baada ya kumaliza ngwe yake. Kwa sasa huna data za kutosha kupata pattern inayozungumza.Sasa mbona Rais anampita karibu katika kila sekta,
Japo hii sio mada yangu,
Maana kwenye utawala wake maiti zilianza kuokotwa kwenye mifuko, kupigana risasi mpka makanisani watu kupotezwa na wasiojulikana kubambikia watu kesi, kweli itachukuwa mda kumpata kiongozi mwenye roho ya hovyo kama yeye