Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

CM 17749858 kwanza nikopongeze kwa jitihada zako za kuitetea Awamu ya Sita. Sisi wana CCM wengine tumeamua kuwa sceptical.
 
Hivi bado ni buku saba ileile au ilishapanda!?
Hoja upingwa kwa hoja , hoja haipingwi kwa kejeli! Ikiwa unaamini huyu anafanya vizuri
1.tupe competitive advantage zake
2.Leta competitive analysis. Kama hutaishia kutoka matusi
 
Pumba ,huo mzimu utawatesa sana ,

RIP, JPM FOREVER
 
Namba tangu lini inatafsida wee mtu?

So far mimi sijawahi kusifia Mtu hapa zaidi ya kueleza fact tena with a vividical evidence
Facts unazijua wewe bwege ,sana ni propaganda dhidi ya huyo she wako,

On going process za hayati alieondoka gafla ndo unageuza mafanikio ya bibi yako?,wapumbavu wenzako ndio watakuelewa
 
Kwa Bi. Hangaya anakulipa kiasi gani kutetea upuuzi wake
Kesho nenda airport ukamuage
 
Andiko zuri sana, kunawatu wanadhani kumlinganisha Rais Magufuli na Rais Samia ni kumuhujuma no ,
Upumbavu uliokithiri,kulinganisha Rais aliefanya utumishi kwa miaka mitano na huyu mwenye tumiezi tu
 
Samia ashasema viatu vinampwaya
 
Samia ashasema viatu vinampwaya
Hiyo ni aina tu ya lugha ya waungwana ya kutokujitukuza.

Hata Mwinyi aliwahi kujifananisha na Nyerere tena mbele yake kuwa ni sawa mlima na kichuguu kwenye muktadha wa kuongoza nchi.

Katika akili ya kawaida inaingia akilini watofautiane kiasi hicho?
 
Hoja upingwa kwa hoja , hoja haipingwi kwa kejeli! Ikiwa unaamini huyu anafanya vizuri
1.tupe competitive advantage zake
2.Leta competitive analysis. Kama hutaishia kutoka matusi
Wewe unajuaje kama nitatukana!

Maelezo meeengi!!!

Kiingereza kiiiiingi!!!!!!

CHAKUSHANGAZA HUJAJIBU SWALI!
 
Naungana na wewe, Ni lugha tu
 
Upumbavu uliokithiri,kulinganisha Rais aliefanya utumishi kwa miaka mitano na huyu mwenye tumiezi tu
Hakuna awali mbaya Chief,

Kuna mambo yanafanyika kwa muda mfupi ila mambo ya miaka mingi
 
Facts unazijua wewe bwege ,sana ni propaganda dhidi ya huyo she wako,

On going process za hayati alieondoka gafla ndo unageuza mafanikio ya bibi yako?,wapumbavu wenzako ndio watakuelewa
Daaah
 
usituletee habari za yule nguchiro humu,
matamshi yeke mengi yalikuwa ya kiuwendawazimu.
OVER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…