Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hawajui lolote ni kujitoa tu akili na kushindwa kusema ukweli,sababu tu anafaidika kwa namna moja au nyingine na Chama/Serikali iliyopo madarakani au analipwa buku 7 kupinga kila hoja ya msingi inayotolewa,ila ni aibu sana kujitoa akili kisa pesaMkuu kauliza nani anayejua Magufuli anatupeleka wapi,kwa hiyo tegemea majibu kama hayo kwa sababu kuna watu wanajua anakotupeleka na wengine hawajui.
Ngoja nikuambie.we ni ndg yangu.unajua viongozi waliopita kasoro nyerere walituasi cc wananchi.tukawa tunafanya Kazi sana lakin kipato kidogo.kufanikiwa lazima ujanja ujanja utumike.wazee wetu wamefanya Kazi sana.japo vijana weng wa sasa hawafanyi kaz sana kama wazee wetu walivyofanya.niombacho.tumpe nafasi rais wetu walau miaka 5 alafu tuje tujadili hili.polisi walikosea wenyewe.walitumika sana kisiasa wakasahau mujibu wao.Mkuu na wewe unakubaliana kweli watu hawafanyi kazi? Mfano police wa Tanzania anafanyakazi masaa mangapi?je hali yake ikoje?au nae hafanyi kazi?Je dereva wa mabasi na daladala hapo mjini hawafanyi kazi?Kaka wewe umezaliwa kijiji kama Mimi? Wazazi wako walikuwa wanaamka saa ngapi kwenda shambani na kurudi saa ngapi? Je hali zao zikoje? Wakati mwingine tumieni akili zenu kuwaza siyo kukurupuka tu eti kisa mabwana zenu wamesema watanzania hatufanyi kazi
Kwani ukiona dira itakusaidia nn wewe kama wewe.cha mno Fanya Kazi kwa bidii ukiiweka bora familia yako.kwani wa escrow walivyokula hela walikupunguzia non ktk maisha yakoSerikali kunyima wananchi uhuru wa kupata habari kwa kuona Bunge live na sababu walizozitoa Nape na Waziri Mkubwa kuhusu inshu hiyo ya kutokuonyesha Bunge live ni moja ya kiashiria kikubwa serikali ya JPM imekosa dira, na ndio maana inataka kuwafisha ukweli huo Watanzania.
Teheteheee [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa....
HAYA ZUNGUSHAA ZUNGUSHAAA TENAA ZUNGUSHA MIKONOOO....MABADILIKOOOO!!!
Kwamba ana nia ya dhati hamna mjadala.Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo.
Huwezi kujua utajua tushafka kitambo, kwa akili yako viwanda havitajengwa?Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
CCM wanafurahi sana wanapoona mpaka sasa bado kuna watu waafikiri kwa namna hiyo uliyoandika Hongera sana!Kwani ukiona dira itakusaidia nn wewe kama wewe.cha mno Fanya Kazi kwa bidii ukiiweka bora familia yako.kwani wa escrow walivyokula hela walikupunguzia non ktk maisha yako
Kwa hiyo rais hana cha kuongeza wala kupunguza kwenye uongozi wake? Kama ni hivyo kuna maana gani ya kuangalia kiongozi makini? Uongozi pia ni ubunifu, kiongozi asipokuwa mbunifu hawezi kuongoza kamweNchi haiendeshwi kwa matakea ya rais ndiyo maana kuna miongozo kama ilani, mipango ya muda mrefu na mfupi, katiba, sheria, miongozo na nyaraka mbali mbali. Wananchi ni haki yetu kuhoji, kukosoa, kushauri na kulalamika kama mambo hayaendi vizuri. Tatizo linakuja pale anayehoji au kukosoa anapoonekana adui. Tabia hii siyo nzuri na haiwezi kutupeleka popote kama taifa
I can't waste my precious time arguing with an empty headedWe mbona hujadili mwelekeo wa chadema? Mna Sera ipi kwa sasa, je ya sukari, au kupambana na ufisadi au ipi hasa??
Ww unanunua sh ngp sukari labdaKwa mzungusha mikono kama wewe huwezi jua muelekeo wa nchi...subiri 2020 uwazungushie tena mikono
Kwa bei elekeziWw unanunua sh ngp sukari labda
Watanzania tuna akili fupi sana ndo maana hatusonge mbele kama taifa na mtu mmoja mmoja, maada ni nzuri inawweza kutusaidia kuibua njia mpya za kumsaidia rais kama ushauri, mtoa mada hana nia mbaya na rais bali anajaribu kutushirikisha tuangalie mwelekeo wa sisi kama taifa, kwa hiyo tuache kumkebehi tuchangie mada kwa mtazamo chanya kwa kutoa michango na ushauri wa kujenga taifa.
Huwezi kusema ukweli maana unatumiwaKwa bei elekezi