Kwa hiyo si kweli kuwa watanzania hatufanyikazi siyo? Asante kwa kuelewa.Ndugu yangu kama unadhani Magufuli ni tofauti na kikwete au mkapa basi am so sorry for you rafiki.hawa watu wa chama chenu cha ccm tofauti yao ni majina,kabila zao,lugha zao,dini zao na sehemu wanazotoka.ila Sera yao ni moja ya kupomoa nchi,kulindana na kuwapumbaza wadanganyika.I know namna ccm mnavyojua kujitoa ufahamu hivyo hata nikikuambia weka kumbuka ya hii post yako hadi 2026 still utaikataa mchana kweupe?
Ngoja nikuambie.we ni ndg yangu.unajua viongozi waliopita kasoro nyerere walituasi cc wananchi.tukawa tunafanya Kazi sana lakin kipato kidogo.kufanikiwa lazima ujanja ujanja utumike.wazee wetu wamefanya Kazi sana.japo vijana weng wa sasa hawafanyi kaz sana kama wazee wetu walivyofanya.niombacho.tumpe nafasi rais wetu walau miaka 5 alafu tuje tujadili hili.polisi walikosea wenyewe.walitumika sana kisiasa wakasahau mujibu wao.