Madenge Origino
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,847
- 1,095
Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Wewee! Hakuna Preza wa miaka kumi hapo. 2020 nchi itaingia kwenye rekodi mpya. Mtaani hakutoshi huko, ni full kilio.Sio minne mkuu,ni tisa bado
Nakubaliana na wewe katika hili. Kiongozi bora ni lazima awe na uchungu na wananchi wake.Uislam unafundia adabu,ustaarabu utu na huruma waliopita ni jibu la haya tunayoyaona,sijawahi ona rais anachukia wananchi wake aisee,tumemkosea nini huyu mzee
Njia yoyote itakufikisha na kokote utakapofika ndo utakuw umefika. KUWENI NA SUBIRA. MAMBO MAZURI HAYAHITAJI HASIRA.kama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.
Fanya yako yakuonekana leo leo.*Tazania ya viwanda.
*Uhuru wa habari na atafanya kazi na waandishi wa habari siyo tu wakati wa kipindi cha
kampeni, bali hata baada.
*Wakulima watapta pembejeo pamoja na zana za kilimi bora.
*Reli ya kati itajengwa.
*Mishahara itaongezwa kwa wafanyakz
*Wanachuo wote watapata mikopo.
*Matajili wataishi kama mashetani.
*Tutaunganisha mikoa yote kwa barabara zenye
viwango vya lami na pia tutajenga barabara za
juu saba jijini hapa,"
*Ninataka watanzania wapate kazi na kazi ya serikali ni kukusanya kodi tu.
*Tutahakikisha tunakuwa
na vituo vya afya, zahanati na hospitali katika
maeneo mbalimbali kwa sababu tunaamini
maendeleo ya kweli hayawezi kupatikana kama
wananchi hawana afya bora.
*Ziko wapi km 10 za rami ktk halmashauri yetu.
Tanzania eeeee nchi yangu eeee.
Kwani kunawakati umewahi jua ni wapi mnakoelekea kiuchumi?Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Sasa ili tupate taifa la viwanda inabidi tuwe chini ya utawala gani?Thubutu! Upate taifa la viwanda chini ya utawala wa CCM? Kila uchao ni kukurupuka tu. Hakuna kinachoeleweka.
Yah, coz hakuna namnawe songesha life hivyo hivyo...