Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mungu mwema. Mtumishi mmoya aliniambia hawajapokea o/c tangu mwezi July na development haijawahi kuja kabisa.
 
Tanzania ya Magufuli ni kama gari bovu yajiendea alijojo. Dreva anapiga mayowe, "sitaki mtu anicheleweshe" kumbe gari haina sukani.
 
Uislam unafundia adabu,ustaarabu utu na huruma waliopita ni jibu la haya tunayoyaona,sijawahi ona rais anachukia wananchi wake aisee,tumemkosea nini huyu mzee
Nakubaliana na wewe katika hili. Kiongozi bora ni lazima awe na uchungu na wananchi wake.

Pia HEKIMA ni sifa ya kiongozi bora na sio Muhemko tu.
 
*Tazania ya viwanda.
*Uhuru wa habari na atafanya kazi na waandishi wa habari siyo tu wakati wa kipindi cha
kampeni, bali hata baada.
*Wakulima watapta pembejeo pamoja na zana za kilimi bora.
*Reli ya kati itajengwa.
*Mishahara itaongezwa kwa wafanyakz
*Wanachuo wote watapata mikopo.
*Matajili wataishi kama mashetani.
*Tutaunganisha mikoa yote kwa barabara zenye
viwango vya lami na pia tutajenga barabara za
juu saba jijini hapa,"
*Ninataka watanzania wapate kazi na kazi ya serikali ni kukusanya kodi tu.
*Tutahakikisha tunakuwa
na vituo vya afya, zahanati na hospitali katika
maeneo mbalimbali kwa sababu tunaamini
maendeleo ya kweli hayawezi kupatikana kama
wananchi hawana afya bora.
*Ziko wapi km 10 za rami ktk halmashauri yetu.


Tanzania eeeee nchi yangu eeee.
 
Vuta subira mkuu,
Huenda hukuelewa vizuri unayoyaona sasa ndiyo aliyo ahidi na si vinginevyo msema kwelii.........????
 
*Tazania ya viwanda.
*Uhuru wa habari na atafanya kazi na waandishi wa habari siyo tu wakati wa kipindi cha
kampeni, bali hata baada.
*Wakulima watapta pembejeo pamoja na zana za kilimi bora.
*Reli ya kati itajengwa.
*Mishahara itaongezwa kwa wafanyakz
*Wanachuo wote watapata mikopo.
*Matajili wataishi kama mashetani.
*Tutaunganisha mikoa yote kwa barabara zenye
viwango vya lami na pia tutajenga barabara za
juu saba jijini hapa,"
*Ninataka watanzania wapate kazi na kazi ya serikali ni kukusanya kodi tu.
*Tutahakikisha tunakuwa
na vituo vya afya, zahanati na hospitali katika
maeneo mbalimbali kwa sababu tunaamini
maendeleo ya kweli hayawezi kupatikana kama
wananchi hawana afya bora.
*Ziko wapi km 10 za rami ktk halmashauri yetu.


Tanzania eeeee nchi yangu eeee.
Fanya yako yakuonekana leo leo.
 
Habari zenu wanabodi!

Majuto ni Mjukuu! Naam, maisha yamekuwa magumu kuanzia mijini mpaka vijijini.wanaume kwa wanawake wameichukia serikali yao Mwaka mmoja tu toka iingie madarakani. Taarifa ya habari ya saa mbili usiku haina mvuto tena! Wamegundua maigizo hayaleti mkate nyumbani.

Kibaya zaidi ni kwamba wote wanakana kuwa hawakumchagua! Wanawake walimshabikia sana lakini sasa hakuna Mwenye hamu nae. Wanajuta kumchagua!
Hakuna baa wanaomba wasikilize taarifa ya habari ya saa mbili usiku tena. Vijijini wamepigika usipime. Katika Halmashauri hakuna Mwenye hamu ya kazi tena. Uchaguzi 2020 utakuwa fantastic.
 
Uongozi ni busara,hekima na uvumilivu!..si kupayuka na kuongea sana majukwaani na hakuna matokeo yoyote.
 
Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Kwani kunawakati umewahi jua ni wapi mnakoelekea kiuchumi?
 
Ameshasahau.kuna msemo wao mmoja wa kupuuzi wana upenda kweli.usiulize serikala itakufanyia nn Bali jiulize utaifanyie mini serikali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom