Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
hivi wakati wakujaza form za mkopo kulikua na kipengele kinachoonyesha unapiga gambe ama vipi? au maafisa wa bodi wana macho ya rohoni..
 
Mshauri!?????

Huyu huwa anawashauri washauri wake

Jack of all trades and master of none
 
Mwenye kile kitabu kinachoitwa "MFALME JUHA" aniazime nikajibie mtihani next week!!
 
Zaidi ya kukutukana watakujibu nini na usishangae wakihamisha mada na kujificha ktk kichaka cha Lowassa
Wananchi inatakiwa tujute kabisa na labda akili zitatuijia. Hatutakiwi kukiabudu chama kama tunavyo jaribu kuaminishwa.

Lakini pia dawa ya jambo hili ni katiba mpya ya wananchi itakayowanyang'anya watawala kiburi na mamlaka na kuyarejesha kwa wenye nchi wenyewe(wananchi)
 
Chadema haina mandate ya kudai katiba mpya yaani ile rasimu ya warioba ambayo ndio wananchi tunaitaka, labda waanzishe katiba yao na waipiganie. Kila kitu inacjopinga rasimu ya warioba sasa hivi chadema ndo wanashakingia kifua.
 
Hapo umetoa point kwa kiwango chako cha juu siyo ?!!
Kwa hiyo nyie nyie nikimkosoa mtu humu hamtaki ila mnataka alosolewe rais tu, hizi ni akili za bavicha at their best!
Hapo iko wazi kakosea maneno na nimemwambia ktk lugha nzuri kabisa ila mnatoka povu, dah!!
 
Hali ikiendelea hivi kwa miaka mitano tutakuwa tumepiga hatua kurudi nyuma badala ya kwenda mbele.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…