Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
hivi wakati wakujaza form za mkopo kulikua na kipengele kinachoonyesha unapiga gambe ama vipi? au maafisa wa bodi wana macho ya rohoni..
 
Mshauri!?????

Huyu huwa anawashauri washauri wake

Jack of all trades and master of none
 
Wakuu ...

Nataka ccm waje wanijibu maswali yafuatayo?

Ilani ya ccm iko wapi?
Je magufuli ndiyo anayotekeleza?
Kama haitekelezi anatekeleza ipi ?
Hivi kujenga uwanja wa ndege chato ilikuwa kwenye ilani ya ccm?
Kama inatekelezwa ni kwa asilimia ngapi?
Kununua ndege mbili ilikuwa ndani ya ilani ya Ccm?

Vipaumbele vya ilani ni nini?
.bado sijaelewa mpaka sasa ilani IPI inatekelezwa!!
Zaidi ya kukutukana watakujibu nini na usishangae wakihamisha mada na kujificha ktk kichaka cha Lowassa
Nashauri...

Anayempa ushauri rais wetu mpendwa amefanikiwa sana na apewe tuzo ya ushauri wake bora .

Amefanikisha kushauri mambo muhimu yafanywe na rais wa nchi na kupata washangiliaji wengi ambao wengine hawajui wanashangilia gori au gori la mkono?

Kiukweli kama alipewa tuzo jecha kwa kuendesha uchaguzi kwa amani kula Zanzibar sasa na Mimi nashauri Tuandae sherehe tumpe tuzo ya ubunifu huyu mshauri mkuu wa rais wetu mpendwa.

Kwa kufanikisha yafuatayo...

1 : kukusanya pesa za mahafa na ziende kusikojulikana .

2: Kuzima bunge live

3: Kuzuia mikutano mpaka 2020

4: kuamia Dodoma

5: kusitisha Ajira

6: kuwanyima wanafunzi mikopo ya chuo kwa kuwa ni walevi na wananunua Tv.

Hakika amefanikiwa kutoa ushauri ulio bora kabisa ndani ya mwaka mmoja baada ya miaka 5 tutakuwa tumefanikiwa kiasi cha kutisha..

Nashauri apewe tuzo ni Genius.
Wananchi inatakiwa tujute kabisa na labda akili zitatuijia. Hatutakiwi kukiabudu chama kama tunavyo jaribu kuaminishwa.

Lakini pia dawa ya jambo hili ni katiba mpya ya wananchi itakayowanyang'anya watawala kiburi na mamlaka na kuyarejesha kwa wenye nchi wenyewe(wananchi)
 
Zaidi ya kukutukana watakujibu nini na usishangae wakihamisha mada na kujificha ktk kichaka cha Lowassa

Wananchi inatakiwa tujute kabisa na labda akili zitatuijia. Hatutakiwi kukiabudu chama kama tunavyo jaribu kuaminishwa.

Lakini pia dawa ya jambo hili ni katiba mpya ya wananchi itakayowanyang'anya watawala kiburi na mamlaka na kuyarejesha kwa wenye nchi wenyewe(wananchi)
Chadema haina mandate ya kudai katiba mpya yaani ile rasimu ya warioba ambayo ndio wananchi tunaitaka, labda waanzishe katiba yao na waipiganie. Kila kitu inacjopinga rasimu ya warioba sasa hivi chadema ndo wanashakingia kifua.
 
Hapo umetoa point kwa kiwango chako cha juu siyo ?!!
Kwa hiyo nyie nyie nikimkosoa mtu humu hamtaki ila mnataka alosolewe rais tu, hizi ni akili za bavicha at their best!
Hapo iko wazi kakosea maneno na nimemwambia ktk lugha nzuri kabisa ila mnatoka povu, dah!!
 
Hali ikiendelea hivi kwa miaka mitano tutakuwa tumepiga hatua kurudi nyuma badala ya kwenda mbele.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom