miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
anayemshauri anampango 2020 ccm itoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua umeelewa ndio maana umechangia usinge elewa ungepita kimya kimyaKajifunze kwanza kuandika, unachanganya sana herufi!
HUJAELEWA HERUFI IPI?Kajifunze kwanza kuandika, unachanganya sana herufi!
Daaah inaonekana unamjuaanayemshauri anampango 2020 ccm itoke
tena asipokuwa makini hali itakuwa mbayaDaaah inaonekana unamjua
Haaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mshauri!?????
Huyu huwa anawashauri washauri wake
Jack of all trades and master of none
Wenye kuelewa tumeelewa lkn wewe unatafuta pa kujificha mbulura wewe pyuuuu makozi ya mzee mvuta ugoto kwenye midomo yakoKajifunze kwanza kuandika, unachanganya sana herufi!
Zaidi ya kukutukana watakujibu nini na usishangae wakihamisha mada na kujificha ktk kichaka cha LowassaWakuu ...
Nataka ccm waje wanijibu maswali yafuatayo?
Ilani ya ccm iko wapi?
Je magufuli ndiyo anayotekeleza?
Kama haitekelezi anatekeleza ipi ?
Hivi kujenga uwanja wa ndege chato ilikuwa kwenye ilani ya ccm?
Kama inatekelezwa ni kwa asilimia ngapi?
Kununua ndege mbili ilikuwa ndani ya ilani ya Ccm?
Vipaumbele vya ilani ni nini?
.bado sijaelewa mpaka sasa ilani IPI inatekelezwa!!
Wananchi inatakiwa tujute kabisa na labda akili zitatuijia. Hatutakiwi kukiabudu chama kama tunavyo jaribu kuaminishwa.Nashauri...
Anayempa ushauri rais wetu mpendwa amefanikiwa sana na apewe tuzo ya ushauri wake bora .
Amefanikisha kushauri mambo muhimu yafanywe na rais wa nchi na kupata washangiliaji wengi ambao wengine hawajui wanashangilia gori au gori la mkono?
Kiukweli kama alipewa tuzo jecha kwa kuendesha uchaguzi kwa amani kula Zanzibar sasa na Mimi nashauri Tuandae sherehe tumpe tuzo ya ubunifu huyu mshauri mkuu wa rais wetu mpendwa.
Kwa kufanikisha yafuatayo...
1 : kukusanya pesa za mahafa na ziende kusikojulikana .
2: Kuzima bunge live
3: Kuzuia mikutano mpaka 2020
4: kuamia Dodoma
5: kusitisha Ajira
6: kuwanyima wanafunzi mikopo ya chuo kwa kuwa ni walevi na wananunua Tv.
Hakika amefanikiwa kutoa ushauri ulio bora kabisa ndani ya mwaka mmoja baada ya miaka 5 tutakuwa tumefanikiwa kiasi cha kutisha..
Nashauri apewe tuzo ni Genius.
Wewe sijui ulipataje mkopo wa elimu ya juu!! Kwa kweli sielewi!!Wenye kuelewa tumeelewa lkn wewe unatafuta pa kujificha mbulura wewe pyuuuu makozi ya mzee mvuta ugoto kwenye midomo yako
Hapo umetoa point kwa kiwango chako cha juu siyo ?!!Kajifunze kwanza kuandika, unachanganya sana herufi!
Chadema haina mandate ya kudai katiba mpya yaani ile rasimu ya warioba ambayo ndio wananchi tunaitaka, labda waanzishe katiba yao na waipiganie. Kila kitu inacjopinga rasimu ya warioba sasa hivi chadema ndo wanashakingia kifua.Zaidi ya kukutukana watakujibu nini na usishangae wakihamisha mada na kujificha ktk kichaka cha Lowassa
Wananchi inatakiwa tujute kabisa na labda akili zitatuijia. Hatutakiwi kukiabudu chama kama tunavyo jaribu kuaminishwa.
Lakini pia dawa ya jambo hili ni katiba mpya ya wananchi itakayowanyang'anya watawala kiburi na mamlaka na kuyarejesha kwa wenye nchi wenyewe(wananchi)
Kwa hiyo nyie nyie nikimkosoa mtu humu hamtaki ila mnataka alosolewe rais tu, hizi ni akili za bavicha at their best!Hapo umetoa point kwa kiwango chako cha juu siyo ?!!
Kama unakidhi vigezo, tulia utapata mkopo.Kwenye mkopo kaka pamenigusa sana,naona ndoto zangu zinapotea