Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo si kweli kuwa watanzania hatufanyikazi siyo? Asante kwa kuelewa.Ndugu yangu kama unadhani Magufuli ni tofauti na kikwete au mkapa basi am so sorry for you rafiki.hawa watu wa chama chenu cha ccm tofauti yao ni majina,kabila zao,lugha zao,dini zao na sehemu wanazotoka.ila Sera yao ni moja ya kupomoa nchi,kulindana na kuwapumbaza wadanganyika.I know namna ccm mnavyojua kujitoa ufahamu hivyo hata nikikuambia weka kumbuka ya hii post yako hadi 2026 still utaikataa mchana kweupe?
 
Kwani ukiona dira itakusaidia nn wewe kama wewe.cha mno Fanya Kazi kwa bidii ukiiweka bora familia yako.kwani wa escrow walivyokula hela walikupunguzia non ktk maisha yako
naomba kujua kama hii post imetumwa na mtu hai yaani mtu mwenye pumzi ya uhai
 
Tanzania ina watu vituko.usikute na wewe ni viongozi katika chama au serikali
Kajifunze kwanza sarufi ndo urudi jamvini, wengi wa nyumbu shule kichwani ni ndogo ndo maana harakati zenu zimetawaliwa na bange.
 

Pole kama unadhani mimi sina dira, inaonekana wewe huna dira kiasi unadhani sisi wengine wote hatuna kama wewe. Samahani kama nimeongoea ukweli uliokukwaza, lengo langu ni zuri tu ili nchi yetu isonge mbele.
 
RAIS JPM ANATUPELEKA KWENYE NCHI ISIO NA MAFSAD NA WALA RUSHWA WAPIGA DILI NA NCHI YENYE UCHUMI IMARA
 
Amesema mpaka watu walimie meno.

Ndiko anakotaka kutupeleka.
 
Kwa bei elekezi

Hizi bei wewe unasikia hapa jukwaani tu, kila kitu unahudumiwa na hela ya chama wala hujui umeme, sukari ni bei gani. Acha sisi wanaume tuzungumze maana ndio tunajua gharama halisi na ugumu wa maisha.
 
Kajifunze kwanza sarufi ndo urudi jamvini, wengi wa nyumbu shule kichwani ni ndogo ndo maana harakati zenu zimetawaliwa na bange.
Mkuu kama hauna PhD basi nakuzidi elimu sana,pia naomba nikufahamishe kuwa Mimi nilisoma Mzumbe sec school wakati huo ikiitwa shule ya watoto wenye vipaji maalumu na serikali yako ya ccm.nadhani hadi hapo umeelewa.usidhani kila mtu ni mjinga au kafanywa mjinga na chama chako
 
mkuu uliahidi ukipewa ushahidi utazungumzia hili suala!
 
time will tell.......kuogea rahisi but kutenda ni habari nyingne
 
Ni kama ndoto vile. Hivi tukisha changia hapa huyp tunae mwambia ataathirik vip ili atekelez kil ambach tumemueleza.
 
Pole kama unadhani mimi sina dira, inaonekana wewe huna dira kiasi unadhani sisi wengine wote hatuna kama wewe. Samahani kama nimeongoea ukweli uliokukwaza, lengo langu ni zuri tu ili nchi yetu isonge mbele.

Asante sana lakini nami nikupe pole wewe unaefikiri serikali haina dira. Nami nakuomba samahani vile vile iwapo nitakuwa nimeongea ukweli uliokukwaza, kama wewe nami pia lengo langu ni jema na zuri tu ili Taifa hili lisonge mbele.
Kumbuka: Wanaoifaidi leo Marekani na nchi nyingine zilizoendelea (kwa mifano mingi...) sio hao walioijenga bali ni wazazi/watangulizi wao waliojitoa kufanya kazi kwa bidii na maadili ili kizazi chao kijacho (now and then) kifurahie na kuwakumbuka. Chukua hilo ili tuje tukumbukwe sote, kulalamika huku tukiwa tumekaa vibarazani haitawasaidia watoto/kizazi chetu cha baadae
 
F%666tt6%ftttttt6666
[/IMG][/IMG][/IMG][/IMG][/IMG][/IMG][/IMG][/IMG][/IMG][/IMG][/IMG][/IMG]
 
Kwa mzungusha mikono kama wewe huwezi jua muelekeo wa nchi...subiri 2020 uwazungushie tena mikono
ungemsaidia mtoa mada. hata mimi sijui inji inaelekezwa wapi
"Nchi inaelekea kuwa ya kifashisti", Profesa Baregu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…