Sio kosa kwa rais kukiri makosa lakini ninavyomjua Rais wetu hawezi kutoka na kukiri hatharani kwamba alifanya,anafanya na ataendelea kufanya makosa ambayo yatakuwa yakiigarimu nchi moja kwa moja.
Rais alifanya wapi makosa?
Wote tunashuhudia kunachoendelea Marekani uchaguzi wao ulifanyika tarehe 8 mwazi huu lakini Trump ajaapishwa mpaka January 20.
Anachokifanya anatengeneza cabinet yake kwa utaratibu kabisa huku akijifunza mambo mbali mbali kwa kupata semina elekezi kwake yeye na watu anaowateua huku akionekana kuwa karibu zaidi na watu Wa saikolojia na watu wa usalama.
Kosa la kwanza alilolifanya Magufuli ni baada ya kuchaguliwa hapo hapo ,Kuapishwa hapo hapo,na kwenda Ikulu hapo hapo.
Kibaya zaidi alipoingia Ikulu na kuzuia semina elekezi kwa wasaidizi wake ilo ndio kosa kubwa alilolifanya.
Semina elekezi ni muhimu sana kwa Rais mwenyewe na wasaidizi wake hasa mawaziri,kukurupuka na maamuzi ya mwendokasi ni kwa sababu Rais na wasaidizi wake hawana semina elekezi mpaka sasa.
Hasara gani kama angeapishwa January 2016?Rais Alichaguliwa Oktoba 25 na akatangazwa Mshindi Oktoba 29 na kaapishwa Novemba 5. Nini matumizi ya Hapo Hapo? By the way si kila kinachofanywa na Marekani tukiige. Mambo mengine yanakuwa hasara kwa taifa
Mkuu, katiba ya Marekani si sawa na ya Tanzania. Usilazimishe mambo Mkuu.Hasara gani kama angeapishwa January 2016?
Mamvi alijiunga Chadema na saa hiyo hiyo akatangazwa mgombea urais. Hayo yalikuwa makosa makubwa kuliko.Hasara gani kama angeapishwa January 2016?
Aiseeeeee! Yaani hapo umegonga kwenye Bull. Amesahau pia kuwa Katibu Mkuu wa Chama chake amepata nafasi hiyo bila kuwa na Semina ElekeziMamvi alijiunga Chadema na saa hiyo hiyo akatangazwa mgombea urais. Hayo yalikuwa makosa makubwa kuliko.
Hayo ni mambo ya chama kama chadema walifanya hivyo labda waliona sawa lakini hapa tunaongelea nchi mambo ya vyama peleka ufipa na Lumumba.....Mamvi alijiunga Chadema na saa hiyo hiyo akatangazwa mgombea urais. Hayo yalikuwa makosa makubwa kuliko.
Ha ha ha, unatapatapa.Hayo ni mambo ya chama kama chadema walifanya hivyo labda waliona sawa lakini hapa tunaongelea nchi mambo ya vyama peleka ufipa na Lumumba.....
Kaka, kwani CHADEMA si chama cha siasa? Kwa nini wasirekebishe kwanza mambo ndani ya chama chao ndipo wawe na mamlaka ya kuhoji masuala ya kitaifa?Hayo ni mambo ya chama kama chadema walifanya hivyo labda waliona sawa lakini hapa tunaongelea nchi mambo ya vyama peleka ufipa na Lumumba.....
Chadema ni chama Mimi sina chama naangalia nchi sasa kwanini usijibu hoja zangu bila kuingiza uchama?Kaka, kwani CHADEMA si chama cha siasa? Kwa nini wasirekebishe kwanza mambo ndani ya chama chao ndipo wawe na mamlaka ya kuhoji masuala ya kitaifa?
Unaanza kujikana, kamanda?...Mimi sina chama...
Waambie chadema mimi naongelea taifa sio chama hata ungekuwa ni vizuri unamuuliza mbowe hayo mambo Mimi nataka kujua kwanini alifuta semina elekezi wakati anajua hawezi endesha nchi?Kaka, kwani CHADEMA si chama cha siasa? Kwa nini wasirekebishe kwanza mambo ndani ya chama chao ndipo wawe na mamlaka ya kuhoji masuala ya kitaifa?
Wewe buku 7 ndio unatapatapa tofautisha taifa na chama Mimi sina chama naongelea mstakabari wa taifa ..Ha ha ha, unatapatapa.
Unaendelea kukana na jogoo litawika mara tatu, ha ha ha acha kujisaliti kamanda.Waambie chadema...
Tatizo unafiria kila aliye jamii forum basi kama si ccm ni chadema ....Unaanza kujikana, kamanda?
Angalia unavyojiumbua mchana kweupee.Tatizo unafiria kila aliye jamii forum basi kama si ccm ni chadema ....
Akili za kijinga sana ndio maana nchi aiendelei........
Ha ha ha, kamanda vipi tena?Sababu zangu ni zifuatazo
1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA
2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa
3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu
4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!
Hivi ni nani anayeongelea kuhusu katiba? Huwa mnatambua uwepo wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Mbona hamuizingatii?Mkuu, katiba ya Marekani si sawa na ya Tanzania. Usilazimishe mambo Mkuu.