Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.

Sio kosa kwa rais kukiri makosa lakini ninavyomjua Rais wetu hawezi kutoka na kukiri hatharani kwamba alifanya,anafanya na ataendelea kufanya makosa ambayo yatakuwa yakiigarimu nchi moja kwa moja.

Rais alifanya wapi makosa?

Wote tunashuhudia kunachoendelea Marekani uchaguzi wao ulifanyika tarehe 8 mwazi huu lakini Trump ajaapishwa mpaka January 20.

Anachokifanya anatengeneza cabinet yake kwa utaratibu kabisa huku akijifunza mambo mbali mbali kwa kupata semina elekezi kwake yeye na watu anaowateua huku akionekana kuwa karibu zaidi na watu Wa saikolojia na watu wa usalama.

Kosa la kwanza alilolifanya Magufuli ni baada ya kuchaguliwa hapo hapo ,Kuapishwa hapo hapo,na kwenda Ikulu hapo hapo.

Kibaya zaidi alipoingia Ikulu na kuzuia semina elekezi kwa wasaidizi wake ilo ndio kosa kubwa alilolifanya.

Semina elekezi ni muhimu sana kwa Rais mwenyewe na wasaidizi wake hasa mawaziri,kukurupuka na maamuzi ya mwendokasi ni kwa sababu Rais na wasaidizi wake hawana semina elekezi mpaka sasa.
 
Rais Alichaguliwa Oktoba 25 na akatangazwa Mshindi Oktoba 29 na kaapishwa Novemba 5. Nini matumizi ya Hapo Hapo? By the way si kila kinachofanywa na Marekani tukiige. Mambo mengine yanakuwa hasara kwa taifa
Hasara gani kama angeapishwa January 2016?
 
Hayo ni mambo ya chama kama chadema walifanya hivyo labda waliona sawa lakini hapa tunaongelea nchi mambo ya vyama peleka ufipa na Lumumba.....
Kaka, kwani CHADEMA si chama cha siasa? Kwa nini wasirekebishe kwanza mambo ndani ya chama chao ndipo wawe na mamlaka ya kuhoji masuala ya kitaifa?
 
Kaka, kwani CHADEMA si chama cha siasa? Kwa nini wasirekebishe kwanza mambo ndani ya chama chao ndipo wawe na mamlaka ya kuhoji masuala ya kitaifa?
Chadema ni chama Mimi sina chama naangalia nchi sasa kwanini usijibu hoja zangu bila kuingiza uchama?
 
Mtu ambaye hakujiandaa kuwa raisi kufanya mambo kama yale siyo kosa lake .
Ulishaona wapi raisi wa nchi gani ?anateua watu wasiokuwa na taaluma kwenda kuwaongoza wananchi .
 
Hawa maprofesa ni kimbelembele kama chadema wa kuhubiri mabadiliko, lkn kumbe ndani ya mioyo yao hawataki mabadiliko !!

Kuna haja gani ya kuhubiri mabadiliko lkn kumbe unataka mambo yaende business as usual??

Shame on them
 
Kaka, kwani CHADEMA si chama cha siasa? Kwa nini wasirekebishe kwanza mambo ndani ya chama chao ndipo wawe na mamlaka ya kuhoji masuala ya kitaifa?
Waambie chadema mimi naongelea taifa sio chama hata ungekuwa ni vizuri unamuuliza mbowe hayo mambo Mimi nataka kujua kwanini alifuta semina elekezi wakati anajua hawezi endesha nchi?
 
Punguza papara utatukana bure.
Tatizo unafiria kila aliye jamii forum basi kama si ccm ni chadema ....

Akili za kijinga sana ndio maana nchi aiendelei........
Angalia unavyojiumbua mchana kweupee.
Sababu zangu ni zifuatazo

1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA

2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa

3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu

4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!
Ha ha ha, kamanda vipi tena?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom