Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Rais Alichaguliwa Oktoba 25 na akatangazwa Mshindi Oktoba 29 na kaapishwa Novemba 5. Nini matumizi ya Hapo Hapo? By the way si kila kinachofanywa na Marekani tukiige. Mambo mengine yanakuwa hasara kwa taifa

Amaa kweli,maji ya bendera yana nguvu kwelikweli!
 
Rais Alichaguliwa Oktoba 25 na akatangazwa Mshindi Oktoba 29 na kaapishwa Novemba 5. Nini matumizi ya Hapo Hapo? By the way si kila kinachofanywa na Marekani tukiige. Mambo mengine yanakuwa hasara kwa taifa
Kwenye hilo lina faida nyingi sana,kwanza inamsaidia Rais mtarajiwa kuwekwa kwenye loop na kuwa aware na mazingira yanayomzunguka huku akipata muda wa kutosha na washauri mbali mbali juu ya namna bora ya kuongoza nchi.Sio hii ya kuapishwa wiki moja baada ya kutangazwa mshindi.Kwanza unakuwa bado na mihemko sababu ya ushindi.Unaingia ikulu na kuanza kazi,its more likely utafanya makosa mengi mpaka uje ugain momentum.Na hapo unashindwa kurekebisha uliyokosea kwasababu za kisiasa tu.Its very true hii style inabidi ibadilike
 
Mtu ambaye hakujiandaa kuwa raisi kufanya mambo kama yale siyo kosa lake .
Ulishaona wapi raisi wa nchi gani ?anateua watu wasiokuwa na taaluma kwenda kuwaongoza wananchi .
Unamuona mtu kwenye Tv anakusifia,unaamua kumzawadia ukurugenzi.Sifa nyingine za ki...... kweli
 
Na wew unge
Rais Alichaguliwa Oktoba 25 na akatangazwa Mshindi Oktoba 29 na kaapishwa Novemba 5. Nini matumizi ya Hapo Hapo? By the way si kila kinachofanywa na Marekani tukiige. Mambo mengine yanakuwa hasara kwa taifa
kuwa na semina elekezini muhim na wew ungeipata hicho kichwa chako ungelikuwa unakitumia vizur tatizo umekigeuza boga la kijani ndo maana unasifia kila kitu
 
Noted
 
Wabongo bwana hata mnachokitaka hamkijui mnapenda kuigaiga tu
 
Aiseeeeee! Yaani hapo umegonga kwenye Bull. Amesahau pia kuwa Katibu Mkuu wa Chama chake amepata nafasi hiyo bila kuwa na Semina Elekezi
Tatizo maccm mnachukulia Urais wa nchi ni kama kazi ya Nape au Bulembo. Angepata uelekezi au kukubali kushaurika angekuwa bonge la prezidaa tofauti na sasa anavyoaibisha chama cha majanga na hata sisi tusio mchagua ndani na nje ya mipaka
 
Huyu anajiona ni muhimili uliochimbiwa kuliko mingine na waliomzunguka njaa zinawasumbua hawezi juta labda akistaafu.
 
Chadema ni chama Mimi sina chama naangalia nchi sasa kwanini usijibu hoja zangu bila kuingiza uchama?
Kwani Magu ndio alitaka ama katiba na sheria za inchi ndio zinataka hivyo. Kabla hujatuma kitu jitahidi kupitia sheria na kanuni za uchaguzi. Usikurupuke kiongozi hii itakusaidia sana. Mengine naona kama unaleta porojo tu.
 
HAMIA MAREKANI BASI,TUACHE NA JPM WETU.
 
Haijulikani unalenga nini hasa mkuu, kwani kwa kutopata hiyo semina elekezi wamekosea wapi?
 
Unaidanganya mpaka nafsi yako....mtachanganyikiwa sana hii miaka kumi
Miaka kumi! Subiri 2020 ndiyo utajua majibu ya makorokoro ya mfalme na kumbuka wale wezi wa kura waliozoea kuwapa ushindi kwa bao la mkono nao wanaisoma
 
Tatizo unafiria kila aliye jamii forum basi kama si ccm ni chadema ....

Akili za kijinga sana ndio maana nchi aiendelei........

Usiwe na hasira! zipo sababu za kufanya nchi isiendelee lakini sio hizi bhana! Mimi, wewe na yule tukiendelea nchi yenyewe inaendelea. Shida iko watz wanataka nchi iendeleee kwanza ndio shedah ilipo, nyie mnatumia muda wenu kubishana na kujaza thread hapa matokeo yake JF inasonga ado ado kutokana na fan base kukua endeleeni kubishana ili sponsors watoe mitonyo.
 
Tatizo maccm mnachukulia Urais wa nchi ni kama kazi ya Nape au Bulembo. Angepata uelekezi au kukubali kushaurika angekuwa bonge la prezidaa tofauti na sasa anavyoaibisha chama cha majanga na hata sisi tusio mchagua ndani na nje ya mipaka
Mkuu nasikia mawasiliano ya chama cha mafisi na serikali yamekatika?
 
Mkuu, katiba ya Marekani si sawa na ya Tanzania. Usilazimishe mambo Mkuu.
Hivi kumbe Tanzania ina katiba, ngoja niamke niende huani Kwanza.
Kwahiyo suala na uhuru wa kufanya mikutano ya siasa, ilifutwa kwa penseli au lenyewe lipo kwenye ilani za vyama.?
Kidiri ya uwezo wa akili yako kipi muhimu kati ya Katiba ya nchi na Ilani ya chama katika mustakabali wa ujenzi na utawala bora wa nchi?
 
Mkuu unalosema ni kweli tatizo bwana yule alipewa maelekezo na ndugu zake wa Nchi jirani hasa yule mrefu mwenye macho kama gorori kuwa akitaka kutawala kwa amani azuie mikutano ya vyama vya upinzani huoni kule kwao anavyowaminya wapinzani
 
Kwani Magu ndio alitaka ama katiba na sheria za inchi ndio zinataka hivyo. Kabla hujatuma kitu jitahidi kupitia sheria na kanuni za uchaguzi. Usikurupuke kiongozi hii itakusaidia sana. Mengine naona kama unaleta porojo tu.
Unazengua tu porojo za siasa
 
Haaaah umejibu hoja hapo na wewe sindio ongera sana
 
Rais Alichaguliwa Oktoba 25 na akatangazwa Mshindi Oktoba 29 na kaapishwa Novemba 5. Nini matumizi ya Hapo Hapo? By the way si kila kinachofanywa na Marekani tukiige. Mambo mengine yanakuwa hasara kwa taifa
Naona point hapo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…