Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....

Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.

Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa....

HAYA ZUNGUSHAA ZUNGUSHAAA TENAA ZUNGUSHA MIKONOOO....MABADILIKOOOO!!!
Mpaka unaona aibu kueleza kuwa tumepotea.
 
Kushuka makusanyo ya kodi ndio minyororo. Kukosekana sukari,....
 
Bila ufumbuzi wa taka zinaendaje dampo.
 
ndo kauli zenu za miaka yote!!! Inamaana maprofesa wote hawafai?
 
Wasiwasi wake ni mwenendo wa makusanyo ya mapato na mwelekeo wa bajeti.
 
Ofisi ipi hiyo ya umma unayoisema ?by the way
Ofisi za Chadema mikoani zina karatasi?
Akili mbovu amekuonyesha kadi ya uanachama, mtu mkitofautiana hoja unmpangia na chama, vp Bashe ni Chadema.?
 
Utajuaje umepotea wakati hujui unakwenda wapi!


Utapoteaje wakati hujui unapokwenda? JPM anayo ilani wewe ulikuwa unazungusha mikono sasa umedandia safari ya watu tuliza kipago uone driver anavyolenga madaraja
Sio jibu na hujui jibu nilipi.
 
KUNJAA NGUMI, zungurusha, zungurusha, mabadikooo-lowasaaaaaa, LOWASAAAA-Mabadilikoooo! twende kaziii, tumewashika pabaya, niliwaambia niachienii mimi nawajua CCM! Kama nawaona wazungurushaa mikonoooo vileee!
Hilo ndio jibu?
 
Unaposema "anatupeleka wapi" ili kukujibu lazima ueleze kuwa ana/metutoa wapi. Wapi tulikuwa ndo tujue wapi tunaenda badala ya kuzungusha mikono.
Ni swali gumu kwenu ndio maana mnaangaika. Majibu hamna.
 
Kumbe unaelewa ee!!!bac kuwa mpole kuanzia Jully makamuz yanaanza.Saiv bado bajeti inayotumika ni ya mjomba
 
Unajua dawa ya moto ni moto tu na mtu akileta mada kebehi dawa yake ni kumjibu kebehi tu.
Hata hivyo nikusifu kwa kumvumilia na kumwelewesha.
Ha uko sahihi hekima na busara ni muhimu.
 
Check unavyodhihirisha upumbavu wako,nyaraka na mwelekeo wa nchi wap na wapi?Lala ukue unaleta tu michosho humu ndani
 
Kama hujui unakoelekea ni wewe sisi tunajua magufuri anatupeleka kwenye raha sasa wewe tunaomba ukae pemben usubiri 2020 uzungushe kiuno maana haitakuwa mikono tena.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…