Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kujenga nchi co et ukilala na kuamka ndio bas kila kitu tayar la hasha hapa ndio kwanza kaanza hata mwaka hajamaliza harakat znaonekana ,, tatzo mmeteseka sana so mnadhan mabadiliko ni usiku mmoja
 
Lengo lake kubwa ni kuimarisha kanisa kwa kuhakikisha anaondoa uswahili (waislam) wachache walokuwa maofisini , ndo maana kwa haraka sana tumeweka ubalozi wa israel hapa, na kazi ya kuwaondoa waswahili inaendelea vzr, wiki ijayo ni zamu ya IDRISSA KIKULA , WIKI ILOPITA TUMEMWONDOA YUNUS, NA KABLA TULIMTOA DR DAU etc , NDALICHAKO ANAONEKANA KUIMUDU SANA KAZI HII YA KUWAONDOA WASWAHILI KAMA RECORD YAKE ILIVYO
 
Mkuu, naona umebadilishia Gia angani...
 
hivi ni kwanini raia yeyote yule akileta hoja ya msingi na ya maendeleo, watu huanza kumhusisha na UKAWA hata kama sio mfuasi wa chama chochote? au mtu yeyote anayetetea rasimali za taifa na wanyonge wa nchi hii kwanini huwekwa kwenye kundi la UKAWA? je, wafuasi wa CCM wao wanapigania maslahi ya nani?
 
Waswahili ndio wametufikisha hapa. Kazi kucheka Cheka na kufumaniana guest, Kama sio kusafiri .
 
Magufli kasha feli kabla hakujacha unamuonea huruma kwa kweli mpaka sasa anajihesabia yupo kwenye kampeni kila siku anabadili style ya kujiweka sawa kwa anao sema maskini ambao tayari hawataki hata kumsikia maana wanajua yeye ana enjey na kikundi chake cha propaganda kama akina makonda
 
Kujenga nchi co et ukilala na kuamka ndio bas kila kitu tayar la hasha hapa ndio kwanza kaanza hata mwaka hajamaliza harakat znaonekana ,, tatzo mmeteseka sana so mnadhan mabadiliko ni usiku mmoja
je, MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA ya JK yalichukua miaka mingapi?
 
Lengo lake kubwa ni kuimarisha kanisa kwa kuhakikisha anaondoa uswahili (waislam) wachache walokuwa maofisini , ndo maana kwa haraka sana tumeweka ubalozi wa israel hapa, na kazi ya kuwaondoa waswahili inaendelea vzr, wiki ijayo ni zamu ya IDRISSA KIKULA , WIKI ILOPITA TUMEMWONDOA YUNUS, NA KABLA TULIMTOA DR DAU etc , NDALICHAKO ANAONEKANA KUIMUDU SANA KAZI HII YA KUWAONDOA WASWAHILI KAMA RECORD YAKE ILIVYO
ni kweli kabisa mkuu.

CC: FaizaFoxy
 
Hivi mkuu makusanyo ya mwezi April yalikuwa trilioni ngapi? Na za mwezi May je?

Zamani tulikuwa tunatangaziwa mapato na matumizi ya serikali lakini kwa sasa ni kimya kabisa. Pia ukiongea na watumishi serikalini watakwambia hakuna hela ya DEVELOPMENT imetumwa mwezi wa nne na wa tano, pia hata hela ya kuendesha ofisi maarufu kama OC haijatumwa kwa miezi miwili. Hii ni dalili kuwa nchi haina muelekeo mzuri kiuchumi ingawa sisi wengine tunampa muda huyu nahodha wetu hadi atakapoanza kutekeleza bajeti yake mwezi July
Hujui ex-chequers zilizengua, wakajilipa washikaji na msela akaingiza 4x4
 
hivi ni kwanini raia yeyote yule akileta hoja ya msingi na ya maendeleo, watu huanza kumhusisha na UKAWA hata kama sio mfuasi wa chama chochote? au mtu yeyote anayetetea rasimali za taifa na wanyonge wa nchi hii kwanini huwekwa kwenye kundi la UKAWA? je, wafuasi wa CCM wao wanapigania maslahi ya nani?
Mimi nishapinha ujinga wa Magufuli kuingikia bunge na mahakama hapa.

Na sijawahi kuwa na chama.
 
Hatujui kwamba ataanza kuboresha kwanza umeme ndo afwate viwanda..

Au aanze viwanda kwanza ndo afwate umeme...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hii ndo Bongoland
Wabongo bana! Kulalamika tuuuu, hata husomi. Issue ya umeme imetulia, juzi juzi kinyerezi 1 imezinduliwa. Dec 2015 zililipwa Bilioni 195 zilizotakiwa ili kinyerezi 2 ianze kujengwa.
Mchuchuma na liganga inaanza anytime soon.
Badala ya kujipanga kiviwanda unalalamika tuuuu. Keshokutwa mhindi aliyejipanga atafungua kiwanda na utaajiriwa kama mlinzi utaandelea kulalamikia serikali.
 
Tunakoelekea ni kazi tu.
Tulipoanzia ni kutumbua wafanyakazi hewa na kutengeneza afya bora kwa wafanyakazi wetu na Elimu bora .
Kwa sasa tuko na kazi ya kukusanya Kodi na kuweka taratibu sahihi wa matumizi sahihi ya Kodi .
Pamoja na kutoa jibu ambalo silikubali sana, nimeappreçiate umejibu swali kama matured person. Asante sana mkuu
 
Hivi mkuu makusanyo ya mwezi April yalikuwa trilioni ngapi? Na za mwezi May je?

Zamani tulikuwa tunatangaziwa mapato na matumizi ya serikali lakini kwa sasa ni kimya kabisa. Pia ukiongea na watumishi serikalini watakwambia hakuna hela ya DEVELOPMENT imetumwa mwezi wa nne na wa tano, pia hata hela ya kuendesha ofisi maarufu kama OC haijatumwa kwa miezi miwili. Hii ni dalili kuwa nchi haina muelekeo mzuri kiuchumi ingawa sisi wengine tunampa muda huyu nahodha wetu hadi atakapoanza kutekeleza bajeti yake mwezi July
Wanatumiwa kila mwezi au kila Quarter?
 
Waswahili husema, kama haujui unapokwenda, huwezi kupotea njia
 
Alisema mwenyewe kuwa atatushusha kutoka kuishi kama malaika ili tuishi kama shetani. Kumbuka malaika wanaishi mbinguni na shetani anaishi kuzimu. Kwa hali hiyo anatutoa mbinguni na anatupeleka kuzimu.
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.

Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida. Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu

Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa? Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi. Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Kaka acha UJUVI pasi na ujuzi
Je wewe unaamini kwamba nchi hii imewahi kuwa na mwelekeo, sera za kuweza kuleta maendeleo? Imewahi kuwa na viwanda, rasilimali?
Mbona leo tuko hapa...!??
Tukiendelea kuchota maji kujaza pipa lililotoboka, naamin, halitojaa haraka, hata likijaa maji hayatokaa yatavuja na kupotea
Ndio maana malengo na mipango yote ya nyuma imetufikisha hapa tulipo, pabaya
Angalia SERA , MALENGO,VIPAUMBELE, MIPANGO ya TAIFA Kwa kuzingatia ILANI YA CHAMA
JPM ameanza na kujenga mindset,uwajibikaji, ubinafsi, kupunguza ufisadi na rushwa.
Ndio Amana JPM anafikiri kutoa fursa kwa vijana zaidi watakaokuja na mindset mpya
Bora kesho wewe uamkie kwenye kufagia mitaro maana tulikupa GENERAL TYRE UMEFILISI.
Umesahau makapuni MATSUSHITA yaliyokuwa yanatengeneza Radio kama NATIONAL, PHILLIPS...?
Makampuni yaliyokuwa kama hayo nchi za wenzetu leo hii yanatengeneza Music systems, tv- flat screens, mafridge na mobile phones zikiwemo smartphone na vifaa vingine vya umeme.
Leo hii tunashabikia kununua ndege mpya tukawakabidhi wale wale CORRUPT, IRRESPONSIBLE MANAGEMENT tunataraji nini!?
Tatizo kuu la nchi hii ni UWAJIBIKAJI, USIMAMIZI,ili kuondoa uzembe, wizi,ubinafsi,upendeleo rushwa na ufisadi
Ndio maana tunashangilia utumbuaji, we are not stupid, we know the LOCKS is on the right truck,ukijikuta umeamkia mtaroni ujue wewe ndio wale wale mnaokunywa uji wa mgonjwa,
Sasa mnadai haki baada ya kushindwa kutekeleza majukumu yenu, . NYAMBAAAF
Aibu yao watendaji serikalini na watumishi waliotufikisha hapa
Aibu yao viongozi wa kisiasa(CCM) kwa kushindwa kusimamia watumishi na serikali zake
JPM usijaze maji pipani kabla ya kuziba matundu
jamani hili halihitaji usomi
 
mpk amekuja na mada nzuri sana. Lakini huku JF kuna mipumbavu kama jingalao na Barbarosa yenye akili ndogo kama piriton hayajui chochote ni kupiga siasa uchwara tu badala ya kuchangia hoja. Wapuuzi wakubwa nyie. Kama ban niko tayari kuliko kuwavumilia panya buku kama nyie.
Hapa tunajadili muelekeo wa nchi ninyi mnaleta mambo yenu ya kipuuzi hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom