MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Nani kakuuliza, hebu toa maoni yako, acha kunukuu maoni ya wanaumeWewe hujitambui
Ni lazima kauli ziwe nyingi kwa vile uozo ulikuwa mwingi pia, tusubiri jigsaw ikamilike ndio tutapata picha kamili na sote tutafaidika!
mungu baaliChaguo la mungu halifanyi makosa, hayo ni maono aliyopewa na mungu. Utimilifu wa maono hayo ndio hakuambiwa kwahiyo inawezakana katabiri yatayojiri miaka 50 ijayo. Vumilieni tu. Nabii wake kasema mengi pia ikiwemo asimamapo basi mungu kasimama. Kwa kifupi tupo katika zama za wateule na wawakilishi wao. Hakuna makosa, kuna mipango mingi tu itakayotekelezeka ki mungu mungu.
Kwa sasa wanaadhibiwa wale watabiri waongo wanaodai mteule wa mungu atakufa maana analeta madhara makubwa sana kwa maendeleo ya nchi kwa kutamka maneno kama hayo. Wakiisha manabii wa uongo ndio mipango itatekelezwa kama vile kuwajibisha watu wenye makosa madogo madogo mfano wa kina Lugumi n.k. Tumuombee mkuu kwa dhati tu ili afanikiwe kuangamiza watabiri waongo maana hicho ndicho kipaumbele cha sasa. Ameen
Mazoezi yapo yanaendelea uwanja wa taifa!Kwani sherehe zipo?
Kuhusu AHADI kuna hili la Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu..."HakunaMtu atakayekosa mkopo.fedha zenyewe mkopo."Kama kuna kitu kimemponza mtawala wa sasa, rais Magufuli ni papara.
Jikumbushe matukio haya machache uelewe ninachozungumza:
...kuna saa amefanya mambo kama Katibu mwenezi wa chama cha siasa, anazungumzia kila jambo matokeo yake anatoa pre-mature conclusions, anatoa misimamo ambayo haitekelezi na inabaki kama deni ktk utendaji wake!
- Hakuna haja ya sherehe za uhuru - nchi chafu na tutatumia siku hii kwa ajili ya usafi, mwaka mmoja baadae: sherehe ipo na jiji chafu!
- Nimeambiwa kuna watu wameficha sukari, nitawakamata, na kunyang'anya sukari na wao watakwenda ndani. mwaka sasa, hakuna sukari iliyokamatwa na kupewa wananchi, hakuna aliyefungwa na bado sukari ipo juu.
- Serikali inahamia Dodoma mara moja, safari itaanza kabla ya bajeti ijayo, miezi karibu 6 sasa hakuna hata karani aliyefika Dodoma ukiachilia mbali Waziri Mkuu ambaye maandalizi yalianza na Lowassa.
- Pesa zimefichwa majumbani, nitabadilisha pesa zote. Hadi sasa hakuna aliyekamatwa na hizo pesa zilizofichwa.
Ikifika 2020 watu wakarejea ahadi!
mkuu. Utashugulikiwa. TRA wataanza na wewe " MKWEPA KODI " !!!!!!!!!!! Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Papara na kukurupuka bila kutafakari kwa kina
Endeleeni kusubiri nyie mi nimeshachoka.Ni lazima kauli ziwe nyingi kwa vile uozo ulikuwa mwingi pia, tusubiri jigsaw ikamilike ndio tutapata picha kamili na sote tutafaidika!
Mwaka huu sijui.labda tutaambiwa tufanye usafi tena.Kwani sherehe zipo?
Yapo majitu yataenda mkuu.Uchaguz ujao sidhani kama kuna mtu ataenda kumsikiliza
Chaguo la mungu halifanyi makosa, hayo ni maono aliyopewa na mungu. Utimilifu wa maono hayo ndio hakuambiwa kwahiyo inawezakana katabiri yatayojiri miaka 50 ijayo. Vumilieni tu. Nabii wake kasema mengi pia ikiwemo asimamapo basi mungu kasimama. Kwa kifupi tupo katika zama za wateule na wawakilishi wao. Hakuna makosa, kuna mipango mingi tu itakayotekelezeka ki mungu mungu.
Kwa sasa wanaadhibiwa wale watabiri waongo wanaodai mteule wa mungu atakufa maana analeta madhara makubwa sana kwa maendeleo ya nchi kwa kutamka maneno kama hayo. Wakiisha manabii wa uongo ndio mipango itatekelezwa kama vile kuwajibisha watu wenye makosa madogo madogo mfano wa kina Lugumi n.k. Tumuombee mkuu kwa dhati tu ili afanikiwe kuangamiza watabiri waongo maana hicho ndicho kipaumbele cha sasa. Ameen
Hawa watumbuliwa wamekuja na mkakati wa kuzua uongo ili kupunguza kasi ya jpm. kazi bure tu. eti ana kurupuka ana papara. kama paka anakamata panya haijalishi kama ana kurupuka au ana papara.Ni lazima kauli ziwe nyingi kwa vile uozo ulikuwa mwingi pia, tusubiri jigsaw ikamilike ndio tutapata picha kamili na sote tutafaidika!
Mafisadi mmebanwa kwenye kona.Kama kuna kitu kimemponza mtawala wa sasa, rais Magufuli ni papara.
Ngumu hata kujua dira/muelekeo katika mipango yake kwa kuwa hawezi kujizuia hata dk akiwa na jambo. Hii imepelekea wananchi kutomuelewa pamoja na mwanzoni walikuwa na imani naye sana. Hii ni tabia itakayom-cost dearly katika uchaguzi ujao wa 2020.
Jikumbushe matukio haya machache uelewe ninachozungumza:
Haya ni mambo ambayo kwa kifupi naona yanam-cost sana mkuu na kama hatofanyia kazi, atali-cost taifa lake na chama chake. Yote anayoyasema mkuu inawezekana yalikuwa sawa, ya msingi na labda alipata fununu za kutosha. Shida yake ni papara, kuna saa amefanya mambo kama Katibu mwenezi wa chama cha siasa, anazungumzia kila jambo matokeo yake anatoa pre-mature conclusions, anatoa misimamo ambayo haitekelezi na inabaki kama deni ktk utendaji wake!
- Hakuna haja ya sherehe za uhuru - nchi chafu na tutatumia siku hii kwa ajili ya usafi, mwaka mmoja baadae: sherehe ipo na jiji chafu!
- Nimeambiwa kuna watu wameficha sukari, nitawakamata, na kunyang'anya sukari na wao watakwenda ndani. mwaka sasa, hakuna sukari iliyokamatwa na kupewa wananchi, hakuna aliyefungwa na bado sukari ipo juu.
- Serikali inahamia Dodoma mara moja, safari itaanza kabla ya bajeti ijayo, miezi karibu 6 sasa hakuna hata karani aliyefika Dodoma ukiachilia mbali Waziri Mkuu ambaye maandalizi yalianza na Lowassa.
- Pesa zimefichwa majumbani, nitabadilisha pesa zote. Hadi sasa hakuna aliyekamatwa na hizo pesa zilizofichwa.
Ikifika 2020 watu wakarejea ahadi, kauli, mipango na utendaji lakini pia, leo hii ni muelekeo gani tunaenda hatujui! Huwa mkuu anakuja na matamko au mipango out of blue, watu wake ndio usiseme, wanaibuka na maagizo mengine hayakufuata sharia/taratibu, au mengine hayatekelezeki!
All in all kama kuna sehemu mkuu anahitaji mtu wa kumshauri ni hapa katika kitengo cha habari/usemaji ambao ni mwiba mgumu kwake kuliko eneo jingine lolote!
Ikiwa lengo ametimiza haina shida!Hawa watumbuliwa wamekuja na mkakati wa kuzua uongo ili kupunguza kasi ya jpm. kazi bure tu. eti ana kurupuka ana papara. kama paka anakamata panya haijalishi kama ana kurupuka au ana papara.
Natambua hilo mkuu, sivyo ulivyokuwa hivyo zamani. If it doesn't hurt, it ain't working. Please don't tell me it hurts and ain't working!Endeleeni kusubiri nyie mi nimeshachoka.