Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hakuna asiyependa hayo!
pia boos wetu hakuna anayedoubt dhamira njema alizonazo, ingawa wapo wanaochukizwa na utendaji wake ndio ubinadamu!
mimi binafsi yangu naona angekuwa slow to react
angeacha wa chini watoe kauli Zaidi na yeye ana-act mwisho wakati yuko certain kuwa anachokiamua sasa kimefanyiwa utafiti wa kina!
mfano:
issues za sukari, angewaacha mawaziri wapambane, yeye akija ndio tie breaker! jibu lake ni la kubalance either tunafunga mtu au tunafikia muafaka!
ubaya wake yeye anasema kwanza, hata akikosea serikali haina tena msemaji mwingine! angekuwa wa mwisho kuzungumzia mambo haya madogomadogo na wa kwanza kwa issues kubwa!
Ni lazima kauli ziwe nyingi kwa vile uozo ulikuwa mwingi pia, tusubiri jigsaw ikamilike ndio tutapata picha kamili na sote tutafaidika!
 
Chaguo la mungu halifanyi makosa, hayo ni maono aliyopewa na mungu. Utimilifu wa maono hayo ndio hakuambiwa kwahiyo inawezakana katabiri yatayojiri miaka 50 ijayo. Vumilieni tu. Nabii wake kasema mengi pia ikiwemo asimamapo basi mungu kasimama. Kwa kifupi tupo katika zama za wateule na wawakilishi wao. Hakuna makosa, kuna mipango mingi tu itakayotekelezeka ki mungu mungu.
Kwa sasa wanaadhibiwa wale watabiri waongo wanaodai mteule wa mungu atakufa maana analeta madhara makubwa sana kwa maendeleo ya nchi kwa kutamka maneno kama hayo. Wakiisha manabii wa uongo ndio mipango itatekelezwa kama vile kuwajibisha watu wenye makosa madogo madogo mfano wa kina Lugumi n.k. Tumuombee mkuu kwa dhati tu ili afanikiwe kuangamiza watabiri waongo maana hicho ndicho kipaumbele cha sasa. Ameen
mungu baali
 
Kama kuna kitu kimemponza mtawala wa sasa, rais Magufuli ni papara.
Jikumbushe matukio haya machache uelewe ninachozungumza:
  1. Hakuna haja ya sherehe za uhuru - nchi chafu na tutatumia siku hii kwa ajili ya usafi, mwaka mmoja baadae: sherehe ipo na jiji chafu!
  2. Nimeambiwa kuna watu wameficha sukari, nitawakamata, na kunyang'anya sukari na wao watakwenda ndani. mwaka sasa, hakuna sukari iliyokamatwa na kupewa wananchi, hakuna aliyefungwa na bado sukari ipo juu.
  3. Serikali inahamia Dodoma mara moja, safari itaanza kabla ya bajeti ijayo, miezi karibu 6 sasa hakuna hata karani aliyefika Dodoma ukiachilia mbali Waziri Mkuu ambaye maandalizi yalianza na Lowassa.
  4. Pesa zimefichwa majumbani, nitabadilisha pesa zote. Hadi sasa hakuna aliyekamatwa na hizo pesa zilizofichwa.
...kuna saa amefanya mambo kama Katibu mwenezi wa chama cha siasa, anazungumzia kila jambo matokeo yake anatoa pre-mature conclusions, anatoa misimamo ambayo haitekelezi na inabaki kama deni ktk utendaji wake!

Ikifika 2020 watu wakarejea ahadi!
Kuhusu AHADI kuna hili la Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu..."HakunaMtu atakayekosa mkopo.fedha zenyewe mkopo."
..Mwaka mmoja baadae...kuna wanaoukosa na KUUMIA wakiwa vyuoni..
 
Kukurupukia mambo halafu hauna mikakati inayoeleweka lazima utumbukie shimoni.
 
Chaguo la mungu halifanyi makosa, hayo ni maono aliyopewa na mungu. Utimilifu wa maono hayo ndio hakuambiwa kwahiyo inawezakana katabiri yatayojiri miaka 50 ijayo. Vumilieni tu. Nabii wake kasema mengi pia ikiwemo asimamapo basi mungu kasimama. Kwa kifupi tupo katika zama za wateule na wawakilishi wao. Hakuna makosa, kuna mipango mingi tu itakayotekelezeka ki mungu mungu.
Kwa sasa wanaadhibiwa wale watabiri waongo wanaodai mteule wa mungu atakufa maana analeta madhara makubwa sana kwa maendeleo ya nchi kwa kutamka maneno kama hayo. Wakiisha manabii wa uongo ndio mipango itatekelezwa kama vile kuwajibisha watu wenye makosa madogo madogo mfano wa kina Lugumi n.k. Tumuombee mkuu kwa dhati tu ili afanikiwe kuangamiza watabiri waongo maana hicho ndicho kipaumbele cha sasa. Ameen
Ni lazima kauli ziwe nyingi kwa vile uozo ulikuwa mwingi pia, tusubiri jigsaw ikamilike ndio tutapata picha kamili na sote tutafaidika!
Hawa watumbuliwa wamekuja na mkakati wa kuzua uongo ili kupunguza kasi ya jpm. kazi bure tu. eti ana kurupuka ana papara. kama paka anakamata panya haijalishi kama ana kurupuka au ana papara.
 
Kama kuna kitu kimemponza mtawala wa sasa, rais Magufuli ni papara.
Ngumu hata kujua dira/muelekeo katika mipango yake kwa kuwa hawezi kujizuia hata dk akiwa na jambo. Hii imepelekea wananchi kutomuelewa pamoja na mwanzoni walikuwa na imani naye sana. Hii ni tabia itakayom-cost dearly katika uchaguzi ujao wa 2020.

Jikumbushe matukio haya machache uelewe ninachozungumza:
  1. Hakuna haja ya sherehe za uhuru - nchi chafu na tutatumia siku hii kwa ajili ya usafi, mwaka mmoja baadae: sherehe ipo na jiji chafu!
  2. Nimeambiwa kuna watu wameficha sukari, nitawakamata, na kunyang'anya sukari na wao watakwenda ndani. mwaka sasa, hakuna sukari iliyokamatwa na kupewa wananchi, hakuna aliyefungwa na bado sukari ipo juu.
  3. Serikali inahamia Dodoma mara moja, safari itaanza kabla ya bajeti ijayo, miezi karibu 6 sasa hakuna hata karani aliyefika Dodoma ukiachilia mbali Waziri Mkuu ambaye maandalizi yalianza na Lowassa.
  4. Pesa zimefichwa majumbani, nitabadilisha pesa zote. Hadi sasa hakuna aliyekamatwa na hizo pesa zilizofichwa.
Haya ni mambo ambayo kwa kifupi naona yanam-cost sana mkuu na kama hatofanyia kazi, atali-cost taifa lake na chama chake. Yote anayoyasema mkuu inawezekana yalikuwa sawa, ya msingi na labda alipata fununu za kutosha. Shida yake ni papara, kuna saa amefanya mambo kama Katibu mwenezi wa chama cha siasa, anazungumzia kila jambo matokeo yake anatoa pre-mature conclusions, anatoa misimamo ambayo haitekelezi na inabaki kama deni ktk utendaji wake!

Ikifika 2020 watu wakarejea ahadi, kauli, mipango na utendaji lakini pia, leo hii ni muelekeo gani tunaenda hatujui! Huwa mkuu anakuja na matamko au mipango out of blue, watu wake ndio usiseme, wanaibuka na maagizo mengine hayakufuata sharia/taratibu, au mengine hayatekelezeki!

All in all kama kuna sehemu mkuu anahitaji mtu wa kumshauri ni hapa katika kitengo cha habari/usemaji ambao ni mwiba mgumu kwake kuliko eneo jingine lolote!
Mafisadi mmebanwa kwenye kona.
Mtanyooka tu
 
Hawa watumbuliwa wamekuja na mkakati wa kuzua uongo ili kupunguza kasi ya jpm. kazi bure tu. eti ana kurupuka ana papara. kama paka anakamata panya haijalishi kama ana kurupuka au ana papara.
Ikiwa lengo ametimiza haina shida!
kwa mfano wako: Sisi hapa tunamzungumzia "PAKA ALIYEACHA KUKAMATA PANYA NA SASA AMEAMUA KUKAMATA MIJUSI NA KUTUJAZIA MIZOGA"
shida ya watanzania ni kaucha kuangalia hoja husika!
mfano: how many majipu yaliyotumbuka?
wangapi kati yao wanahukumiwa/shutumiwa kwa lolote!
wangapi michakato yao ya kuwatumbua ilifuata taratibu za utumishi za kuwasimamisha?
Ni wote wenye makosa sawa wametumbuliwa?
tunazungumzia kuwekeza ktk viwanda na huu ndio mkakati number 1 wa serikali hii!
sasa kama tajiri number 1 Africa anakimbia, nani mwingine unaweza kumuita aweke pesa yake Tanzania!
kuwa msema kweli na kufungua kiwanda ni vitu tofauti!
msema kweli .... mpenzi wa Mungu kwa mantiki hii tujenge tu makanisa/misikiti!
Viwanda vinahitaji mbinu, mikakati na negotiation skills za hali ya juu. hakuna ubabe kwa mtu mwenye pesa zake!
tuache kuwapotosha wanasiasa, tuwaambie ukweli ni for our own good!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom