Sawa!Mafisadi mmebanwa kwenye kona.
Mtanyooka tu
Exactly wewe umeipin hoja kisawasawa!Totally disappointed hii regime,wananchi ndoo tumegeuka kuwa maadui kwa mkuu wetu,leo kasahau isani zetu zote,Declining empire 110%
Zipo lakini za kuokota makaratasi barabarani .Kwani sherehe zipo?
Umeandika ukweli mzito sana , na hayo ni mapungufu makubwa sana !Totally disappointed hii regime,wananchi ndoo tumegeuka kuwa maadui kwa mkuu wetu,leo kasahau isani zetu zote,Declining empire 110%
Kama kuna kitu kimemponza mtawala wa sasa, rais Magufuli ni papara.
Ngumu hata kujua dira/muelekeo katika mipango yake kwa kuwa hawezi kujizuia hata dk akiwa na jambo. Hii imepelekea wananchi kutomuelewa pamoja na mwanzoni walikuwa na imani naye sana. Hii ni tabia itakayom-cost dearly katika uchaguzi ujao wa 2020.
Jikumbushe matukio haya machache uelewe ninachozungumza:
Haya ni mambo ambayo kwa kifupi naona yanam-cost sana mkuu na kama hatofanyia kazi, atali-cost taifa lake na chama chake. Yote anayoyasema mkuu inawezekana yalikuwa sawa, ya msingi na labda alipata fununu za kutosha. Shida yake ni papara, kuna saa amefanya mambo kama Katibu mwenezi wa chama cha siasa, anazungumzia kila jambo matokeo yake anatoa pre-mature conclusions, anatoa misimamo ambayo haitekelezi na inabaki kama deni ktk utendaji wake!
- Hakuna haja ya sherehe za uhuru - nchi chafu na tutatumia siku hii kwa ajili ya usafi, mwaka mmoja baadae: sherehe ipo na jiji chafu!
- Nimeambiwa kuna watu wameficha sukari, nitawakamata, na kunyang'anya sukari na wao watakwenda ndani. mwaka sasa, hakuna sukari iliyokamatwa na kupewa wananchi, hakuna aliyefungwa na bado sukari ipo juu.
- Serikali inahamia Dodoma mara moja, safari itaanza kabla ya bajeti ijayo, miezi karibu 6 sasa hakuna hata karani aliyefika Dodoma ukiachilia mbali Waziri Mkuu ambaye maandalizi yalianza na Lowassa.
- Pesa zimefichwa majumbani, nitabadilisha pesa zote. Hadi sasa hakuna aliyekamatwa na hizo pesa zilizofichwa.
Ikifika 2020 watu wakarejea ahadi, kauli, mipango na utendaji lakini pia, leo hii ni muelekeo gani tunaenda hatujui! Huwa mkuu anakuja na matamko au mipango out of blue, watu wake ndio usiseme, wanaibuka na maagizo mengine hayakufuata sharia/taratibu, au mengine hayatekelezeki!
All in all kama kuna sehemu mkuu anahitaji mtu wa kumshauri ni hapa katika kitengo cha habari/usemaji ambao ni mwiba mgumu kwake kuliko eneo jingine lolote!
Usipo andika utumbo utanyangwanywa computer.Kama kuna kitu kimemponza mtawala wa sasa, rais Magufuli ni papara.

Chumba chenu hicho mnakaa sita tu na vicomputer vyenu sita.Chaguo la mungu halifanyi makosa, hayo ni maono aliyopewa na mungu. Utimilifu wa maono hayo ndio hakuambiwa kwahiyo inawezakana katabiri yatayojiri miaka 50 ijayo. Vumilieni tu. Nabii wake kasema mengi pia ikiwemo asimamapo basi mungu kasimama. Kwa kifupi tupo katika zama za wateule na wawakilishi wao. Hakuna makosa, kuna mipango mingi tu itakayotekelezeka ki mungu mungu.
Kwa sasa wanaadhibiwa wale watabiri waongo wanaodai mteule wa mungu atakufa maana analeta madhara makubwa sana kwa maendeleo ya nchi kwa kutamka maneno kama hayo. Wakiisha manabii wa uongo ndio mipango itatekelezwa kama vile kuwajibisha watu wenye makosa madogo madogo mfano wa kina Lugumi n.k. Tumuombee mkuu kwa dhati tu ili afanikiwe kuangamiza watabiri waongo maana hicho ndicho kipaumbele cha sasa. Ameen
Katumwa kaka asikupe headache kabisa,anaongea Kwa niaba,bundles za bure hizo,just relaxing remains to be seeing [emoji109] [emoji109] [emoji109]Sawa!
wale wanaokosa dawa hospitali ni kwa sababu ya ufisadi wao!
wanaouziwa sukari 2600 ni mafisadi!
wanaokosa mikopo ni mafisadi!
waliokosa nafasi vyuo vikuu/diploma ni mafisadi!
waliovunjiwa jangwani ni mafisadi!
waliokosa fidia baada ya tetemeko Bukoba ni mafisadi!
haya ndugu yangu kila la heri, sisi mafisadi tumeumizwa ndio maana tunalalama!
ila walala hoi kama wale bodi ya TRA wao hawalalamiki kwa kuwa hawakuwa mafisadi awamu iliyopita!
Mbona Mjomba mlimtumbua pale daraja la kigamboni hadharani halafu mmempa shavu ubalozini? Mbona wajukuu zangu mliwatumbua kule iramba mmewarudisha kazini bila masharti?Hawa watumbuliwa wamekuja na mkakati wa kuzua uongo ili kupunguza kasi ya jpm. kazi bure tu. eti ana kurupuka ana papara. kama paka anakamata panya haijalishi kama ana kurupuka au ana papara.
Kumbe hata kushauri sasa hairuhusiwi?Ukweli unauma ila mtakamatwa mnao to a hizi mada