Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mafisadi mmebanwa kwenye kona.
Mtanyooka tu
Sawa!
wale wanaokosa dawa hospitali ni kwa sababu ya ufisadi wao!
wanaouziwa sukari 2600 ni mafisadi!
wanaokosa mikopo ni mafisadi!
waliokosa nafasi vyuo vikuu/diploma ni mafisadi!
waliovunjiwa jangwani ni mafisadi!
waliokosa fidia baada ya tetemeko Bukoba ni mafisadi!
haya ndugu yangu kila la heri, sisi mafisadi tumeumizwa ndio maana tunalalama!
ila walala hoi kama wale bodi ya TRA wao hawalalamiki kwa kuwa hawakuwa mafisadi awamu iliyopita!
 
Kuna kura alizipata ila hatozipata tena hata azunguke nchi nzima kwa pikipiki.
 
Totally disappointed hii regime,wananchi ndoo tumegeuka kuwa maadui kwa mkuu wetu,leo kasahau isani zetu zote,Declining empire 110%
Exactly wewe umeipin hoja kisawasawa!
haipaswi kutokea katika taifa viongozi wakaacha kuwaamini wananchi, viongozi wakasema vibaya juu ya watendaji, pia kinyume chake nachi sio sahihi!
tulikwama ktk previous regime kwa kuwa wananchi walikosa iman na serikali yao! mengi tuliyoyafanya yalitendwa bila watu kuamini kuwa yanafanyika yakiwa clean, mara kadhaa kulitokea sintofahamu na vitisho vya maandamano etc!
ni rahisi ikiwa wananchi wengi wanashutumu viongozi (wachache) kwa kuwa viongozi wanawza kuchange au kutoka na hali ikawa sawa!
sasa, wananchi hawaaminiwi, hawawezi kubadilika wote kwa pamoja, hatari ninayoiona kwa sasa ni kwa ccm kupoteza uchaguzi ujao, though hiyo pia inaweza kuwa neema kwa wengi!
lakini implimentations za mipango mingi ya serikali for the next 4 years itaendaje ikiwa wananchi hawatokuwa sehemu ya utendaji?
watumishi wa umma, hawako motivated to work, wao wanaenda kazini ili wasipoteze ajira, hii ni mbaya sana!
wafanyabiashara hawa-inject pesa/miradi na wanapunguza uwekezaji!
donor countries hawaendelei kutupa misaada!
kilimo sio uti wa mgongo tena, bali tunawekeza ktk viwanda!
tukae chini na kujadili hili!
CCM na CDM wao wataloose au kuwin uchaguzi fullstop! Tanzania itapoteza rasilimali, muda, morali/uzalendo! ni kazi sana kurejesha mshikamano uliotoweka, ni ngumu kumjengea Imani mtumishi aliyepoteza morali, ni ngumu kuaminiana tena pale palipovunjika uaminifu!
tuijenge pamoja Tanzania!
Lile gap la wenye nacho na wasionacho hatujaliziba, tumetengeneza jingine la viongozi na wananchi!
think bigger!
 
Man United 1-0 Arsenal
Fellaini comes on
FT Man Utd 1-1 Arsenal

Man Utd 1-0 Westham
Fellaini comes on
FT Man Utd 1-1 Westham

Everton 0-1 Man Utd
Fellaini comes on
FT Everton 1-1 Man Utd

_Einsteins Theory of Insanity_
*_"Doing the same thing over and over again expecting different results."_*
 
Tunatakiwa kumpa sapoti rais wetu na sio kubeza juhudi zake,baadae mambo yatakuwa mazuri.
 
Mama angu mzazi kule nyamainza misungwi anasema tusimchukie jpm ana kitu kizuri mbele yetu,,anasema tumwombee tu.nami huwa natumia fursa hiyo kuamini na kumwombea
 
Wewe nu M
Kama kuna kitu kimemponza mtawala wa sasa, rais Magufuli ni papara.
Ngumu hata kujua dira/muelekeo katika mipango yake kwa kuwa hawezi kujizuia hata dk akiwa na jambo. Hii imepelekea wananchi kutomuelewa pamoja na mwanzoni walikuwa na imani naye sana. Hii ni tabia itakayom-cost dearly katika uchaguzi ujao wa 2020.

Jikumbushe matukio haya machache uelewe ninachozungumza:
  1. Hakuna haja ya sherehe za uhuru - nchi chafu na tutatumia siku hii kwa ajili ya usafi, mwaka mmoja baadae: sherehe ipo na jiji chafu!
  2. Nimeambiwa kuna watu wameficha sukari, nitawakamata, na kunyang'anya sukari na wao watakwenda ndani. mwaka sasa, hakuna sukari iliyokamatwa na kupewa wananchi, hakuna aliyefungwa na bado sukari ipo juu.
  3. Serikali inahamia Dodoma mara moja, safari itaanza kabla ya bajeti ijayo, miezi karibu 6 sasa hakuna hata karani aliyefika Dodoma ukiachilia mbali Waziri Mkuu ambaye maandalizi yalianza na Lowassa.
  4. Pesa zimefichwa majumbani, nitabadilisha pesa zote. Hadi sasa hakuna aliyekamatwa na hizo pesa zilizofichwa.
Haya ni mambo ambayo kwa kifupi naona yanam-cost sana mkuu na kama hatofanyia kazi, atali-cost taifa lake na chama chake. Yote anayoyasema mkuu inawezekana yalikuwa sawa, ya msingi na labda alipata fununu za kutosha. Shida yake ni papara, kuna saa amefanya mambo kama Katibu mwenezi wa chama cha siasa, anazungumzia kila jambo matokeo yake anatoa pre-mature conclusions, anatoa misimamo ambayo haitekelezi na inabaki kama deni ktk utendaji wake!

Ikifika 2020 watu wakarejea ahadi, kauli, mipango na utendaji lakini pia, leo hii ni muelekeo gani tunaenda hatujui! Huwa mkuu anakuja na matamko au mipango out of blue, watu wake ndio usiseme, wanaibuka na maagizo mengine hayakufuata sharia/taratibu, au mengine hayatekelezeki!

All in all kama kuna sehemu mkuu anahitaji mtu wa kumshauri ni hapa katika kitengo cha habari/usemaji ambao ni mwiba mgumu kwake kuliko eneo jingine lolote!

Rais hakuwahi kusema serikali inahamia Dodoma mara moja.
 
Sasa mtu mwenyewe alikua anapiga push up kwenye kampeni mnategemea alipokabidhiwa ofisi atafanya nini?
 
Usipo andika utumbo utanyangwanywa computer.
Mapovuuuuu
 
Almost taifa zime la watanzani kwa ujumla
We happening to be victims of is circumstances kwa kweli,every one of us is affected kwa namna yeyote hile,sijuwi kaja kutukomoa mkuu wetu jaman,Limbo!!!
 
Chaguo la mungu halifanyi makosa, hayo ni maono aliyopewa na mungu. Utimilifu wa maono hayo ndio hakuambiwa kwahiyo inawezakana katabiri yatayojiri miaka 50 ijayo. Vumilieni tu. Nabii wake kasema mengi pia ikiwemo asimamapo basi mungu kasimama. Kwa kifupi tupo katika zama za wateule na wawakilishi wao. Hakuna makosa, kuna mipango mingi tu itakayotekelezeka ki mungu mungu.
Kwa sasa wanaadhibiwa wale watabiri waongo wanaodai mteule wa mungu atakufa maana analeta madhara makubwa sana kwa maendeleo ya nchi kwa kutamka maneno kama hayo. Wakiisha manabii wa uongo ndio mipango itatekelezwa kama vile kuwajibisha watu wenye makosa madogo madogo mfano wa kina Lugumi n.k. Tumuombee mkuu kwa dhati tu ili afanikiwe kuangamiza watabiri waongo maana hicho ndicho kipaumbele cha sasa. Ameen
Chumba chenu hicho mnakaa sita tu na vicomputer vyenu sita.
Andikeni mnavyotaka.
Tokeni mapovu hadi mzimie.
Jiharishieni mkizidiwa.
Mtaisoma tu. Na kesho tunaipaka rangi
 
Sawa!
wale wanaokosa dawa hospitali ni kwa sababu ya ufisadi wao!
wanaouziwa sukari 2600 ni mafisadi!
wanaokosa mikopo ni mafisadi!
waliokosa nafasi vyuo vikuu/diploma ni mafisadi!
waliovunjiwa jangwani ni mafisadi!
waliokosa fidia baada ya tetemeko Bukoba ni mafisadi!
haya ndugu yangu kila la heri, sisi mafisadi tumeumizwa ndio maana tunalalama!
ila walala hoi kama wale bodi ya TRA wao hawalalamiki kwa kuwa hawakuwa mafisadi awamu iliyopita!
Katumwa kaka asikupe headache kabisa,anaongea Kwa niaba,bundles za bure hizo,just relaxing remains to be seeing [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Hawa watumbuliwa wamekuja na mkakati wa kuzua uongo ili kupunguza kasi ya jpm. kazi bure tu. eti ana kurupuka ana papara. kama paka anakamata panya haijalishi kama ana kurupuka au ana papara.
Mbona Mjomba mlimtumbua pale daraja la kigamboni hadharani halafu mmempa shavu ubalozini? Mbona wajukuu zangu mliwatumbua kule iramba mmewarudisha kazini bila masharti?
Mbona ni nyiiiiingi.

Mtoa mada hata kama amekosea lakini anakaribia ukweli.
 
Ukweli unauma ila mtakamatwa mnao to a hizi mada
Kumbe hata kushauri sasa hairuhusiwi?
acheni upotoshaji, ccm msipende kusifiwa hata kama unajua ni uongo!
heri mimi ninayesema ninavyofikiri inapaswa kuwa, kuliko wanafiki wanaojificha, hawasemi hapa lkn pembeni wanalalamika!
kama nikipewa ushauri juu ya tabia/matendo au mipango yangu, hata kama mtoa ushauri atakuja vibaya lkn moyoni mwangu nitampenda kuwa ananitakia mema!
 
"Hajawahi kuwa seriuos kwa mambo seriuos na amekuwa serious kwa mambo yasiyo serious"

Ukimwelewa hivi hatokupa shida na wala hutotarajia makubwa kutoka kwake.
 
Haaaaa! Mke wa kukwete na sumaye nani mkubwa katika taifa?nchi hiiii ci mali y ccm ijulikane hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom