Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Mahakama Ya Mafisadi si imeanza kazi?Nenda ukamkosoe kwanza Mbowe, kwa kuuza chama kwa mafisadi ili uone bavicha wanavyokurukia mwili mzima.
Nenda ukamkosoe kwanza Mbowe, kwa kuuza chama kwa mafisadi ili uone bavicha wanavyokurukia mwili mzima.
Wanatuambia wanabana matumizi kutokurusha Bunge live, Television binafsi zikasema zitarusha kwa gharama zao wakazuia, Wafadhili wakajitokeza wanakataa, Cha ajabu Ziara Ya Mkuu wa Mkoa inapata live coverageTeh teh teh. Anapenda magufuli akosolewe lakini mbowe asikosolewe,
Confusion nyingine bwana, hazina kichwa wala miguu !kiukweli kwa hoja za kutetea maskini na kuangalia wanyonge magufuli amedrop sana.
bila unafiki jiulize
mikopo vyuo vikuu imeshughulikiwa kama alivosema?
milioni 50 kila kijiji umeziona?
mama ntilie wameheshimiwa?
machinga wameheshimiwa?
bodaboda wamesikilizwa?
wahanga mbalimbali wa natural dister wamehudumiwa?
maisha mtaani yamekuwa poa?
biashara kitaa zimekua?
wazanzibari wanafuraha na situation ilivo?
media zina furaha?
mitandao na sheria zake mnafurahia?
bunge recorded mnachekelea?
matumizi ya fedha zetu bila bunge kubajeti unaona sawa?
aash ninayo mengi.
jiulize mtanange 2020, kiukweli msishangae yahya jammie mwengine
kiukweli kwa hoja za kutetea maskini na kuangalia wanyonge magufuli amedrop sana.
bila unafiki jiulize
mikopo vyuo vikuu imeshughulikiwa kama alivosema?
milioni 50 kila kijiji umeziona?
mama ntilie wameheshimiwa?
machinga wameheshimiwa?
bodaboda wamesikilizwa?
wahanga mbalimbali wa natural dister wamehudumiwa?
maisha mtaani yamekuwa poa?
biashara kitaa zimekua?
wazanzibari wanafuraha na situation ilivo?
media zina furaha?
mitandao na sheria zake mnafurahia?
bunge recorded mnachekelea?
matumizi ya fedha zetu bila bunge kubajeti unaona sawa?
aash ninayo mengi.
jiulize mtanange 2020, kiukweli msishangae yahya jammie mwengine
Na nyie mna kazi moja tu ya kutafuna rambi rambi na hela ya maafa.Ndio kazi mliyobakiza hapo ufipa, kuosha mafisadi
Mbowe aliwaingiza mkenge
Na bado mtanyooka tu
Lowasa ndio nani?kiukweli kwa hoja za kutetea maskini na kuangalia wanyonge magufuli amedrop sana.
bila unafiki jiulize
mikopo vyuo vikuu imeshughulikiwa kama alivosema?
milioni 50 kila kijiji umeziona?
mama ntilie wameheshimiwa?
machinga wameheshimiwa?
bodaboda wamesikilizwa?
wahanga mbalimbali wa natural dister wamehudumiwa?
maisha mtaani yamekuwa poa?
biashara kitaa zimekua?
wazanzibari wanafuraha na situation ilivo?
media zina furaha?
mitandao na sheria zake mnafurahia?
bunge recorded mnachekelea?
matumizi ya fedha zetu bila bunge kubajeti unaona sawa?
aash ninayo mengi.
jiulize mtanange 2020, kiukweli msishangae yahya jammie mwengine
Ukweli mliyemchagua kwa wizi wa kura ndiye fisadi namba one. Uliza ameiba wapi nitakupa mifano 100. Hawezi kuruhusu katiba ifanye kazi kwa sababu anajijua watamsema hadi akimbie hapo magogoni!! amebakia kupandisha povu tu hana lolote!! Nimeona miili iliyokataliwa na mamba kule ruvu!! hayo tutayajua baadaye! subiri!! leave Lowasa alone you criminalsNdio kazi mliyobakiza hapo ufipa, kuosha mafisadi
Mbowe aliwaingiza mkenge
Na bado mtanyooka tu