lydia kabuta
Member
- Oct 1, 2016
- 11
- 1
Biashara yako haijawa ngumu dada?Fanyeni kazi acheni porojo
Waliozowea vya kunyongwa vya kuchinja hawaweziTangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu aingie ajira zimefutika,
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha watu ni hofu mtindo mmoja
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie ni matetemeko na ukame tu katika nchi
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima
ILE NEEMA NA BARAKA KATIKA NCHI ILIYOKUWEPO IMETOWEKA
Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Kwa walio wengi, Magufuli ni Neema kutoka kwa Mungu,ni adhabu kutoka kwa Mungu
[emoji23] [emoji23] kamlija kako kamezibwaTangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu aingie ajira zimefutika,
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha watu ni hofu mtindo mmoja
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie ni matetemeko na ukame tu katika nchi
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima
ILE NEEMA NA BARAKA KATIKA NCHI ILIYOKUWEPO IMETOWEKA
[emoji23] [emoji23] kamlija kako kamezibwa
Mm ninafuhia sana huu utawala kwa sababu umeleta usawa kwa watu wote.
we f...la kweli wewe, unafurahia watukuishi kijima![emoji23] [emoji23] kamlija kako kamezibwa
Mm ninafuhia sana huu utawala kwa sababu umeleta usawa kwa watu wote.
usipende kuwasemea watu! i wish ijue wanafunz wanavyosoma kwa shida vyuo vikuu now!Kwa walio wengi, Magufuli ni Neema kutoka kwa Mungu,
[HASHTAG]#AkimalizaKumiTumuongezeeMitano[/HASHTAG]
vumilia tu yana mwishoTangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu aingie ajira zimefutika,
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha watu ni hofu mtindo mmoja
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie ni matetemeko na ukame tu katika nchi
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima
ILE NEEMA NA BARAKA KATIKA NCHI ILIYOKUWEPO IMETOWEKA
Hata ukoo wako utakoma na unakoma- kuna wanaokuhusu wanaKOMANdio mkome.....MLIZOEA VYA BURE SANA....FANYENI KAZI ILI ULE JASHO LAKO...HUU NDIO UTAWALA TULIOKUWA TUNA ULILIA....