Mkuu uko serious? Mbona hiyo ID yako ya ISIS ni kitu negative? Tukiiona tu tunakukumbuka kuchinjana, what is positive about that. Anyway nimeshindwa kufuta kama vipi liacheni hili lithread lishuke chini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Mimi naamini kutiii mamlaka iliyoko madarakani na najiona kufanya vizuri katika kila sector ya maisha yangu. ..I do believe in POSITIVE THINKING, hivyo kila kitu kizuri kinanijia. ..NAMHESHIMU SANA SANA RAIS WANGU JPJM na serikali yote...kwa kufanya hivi POSITIVE ENERGY YA UNIVERSE inanisaidia mambo mengi sana. ...Have a nice day my friend
Mwaka mmoja kama alikua anaelekea kuzuri, tungeweza kusoma alama za nyakati, miaka mitano tutakua wapi, naomba niambie tunaelekea wapi ukiangalia alama za nyakati kwa sasa...Safi sana mkuu. Magufuli yupo. Unamtaka humtaki......it's up to you. Hivi tukilalamika inatusaidia nini? Ukilaumu kwamba maisha in magumu yatakuwa marahisi instantly? Sana sana unajipa mastress ya bure.....unakuwa mlalamishi. Huoni jema lolote la nchi yako.
Amen RASafi sana mkuu. Magufuli yupo. Unamtaka humtaki......it's up to you. Hivi tukilalamika inatusaidia nini? Ukilaumu kwamba maisha in magumu yatakuwa marahisi instantly? Sana sana unajipa mastress ya bure.....unakuwa mlalamishi. Huoni jema lolote la nchi yako.
Mkuu uko serious? Mbona hiyo ID yako ya ISIS ni kitu negative? Tukiiona tu tunakukumbuka kuchinjana, what is positive about that. Anyway nimeshindwa kufuta kama vipi liacheni hili lithread lishuke chini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
magu ni failure, he won't leave any legacy behind zaidi ya aibu tupu!Mkuu uko serious? Mbona hiyo ID yako ya ISIS ni kitu negative? Tukiiona tu tunakukumbuka kuchinjana, what is positive about that. Anyway nimeshindwa kufuta kama vipi liacheni hili lithread lishuke chini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
ISIS News - Latest Updates, Pictures and Videos on the Islamic State | Daily Mail Online
Kwani una wasiwasi na andiko lako?Invisible please nisaidie kufuta kabla hayajawa makubwa
Na ina maana watu wanayo mengi tu ya kuandika lakini wanaona soo! [emoji113] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]he he! unataka ifutwe!
kwani kipindi unaiandika ulikuwa umelewa..?
Lo! Kumbe u mwoga kias hicho?Hapana Khantwe, au niifute? Lol
Acha tulishushe Rebeca 83 ukiletewa za kuleta nibonyeze nitakutetea kisheria kortini. Wee komaaMkuu uko serious? Mbona hiyo ID yako ya ISIS ni kitu negative? Tukiiona tu tunakukumbuka kuchinjana, what is positive about that. Anyway nimeshindwa kufuta kama vipi liacheni hili lithread lishuke chini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Hamna ndugu yangu ili nipate faida gani. ..unajua binadamu hubadilisha jina zuri kuwa baya na hasa a powerful name kama GOD and dog. ..ndiyo maana MUHUBIRI (Biblia Takatifu ) anasema UFALME WA MWENYE ENZI MUNGU UMEFICHWA NA NI HAKI YA MFALME KUUTAFUTA. ..ISIS NI GODESS OF MAGIC. ..ISIS News - Latest Updates, Pictures and Videos on the Islamic State | Daily Mail Online
Mtu wa kawaida, akiskia ISIS naelewa hili, sio Goddess, najua unajua hili ila unanizuga tu lol
Huu uoga sio wa nchi hiiInvisible please nisaidie kufuta kabla hayajawa makubwa
Vipi hutaki tena ifutwe?Mwaka mmoja kama alikua anaelekea kuzuri, tungeweza kusoma alama za nyakati, miaka mitano tutakua wapi, naomba niambie tunaelekea wapi ukiangalia alama za nyakati kwa sasa...