Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hapa kazi tu is public scope of view not private. Anaanza na hilo then hayo mengine yatakuja automatically kwa wakati wake.

Vipi kwani kwenu viwanda,barabara,viwanja vya ndege na hospitali havijengwi? Huku kwetu mambo mswano.
 
Hiyo ni dalili njema ya kushindwa kutimiza ahadi,

Tanzania ya viwanda tutaiona kwenye fiction movies tu.

Anywayzz, vipi mahakama ya waliofeli form four itafunguliwa lini?[emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani naomba waungwana mnisaidie maana ninachokiona huyu bwana pombe amekuja kulipa kisasi kwa wapinzani, ana hasira ambayo sio ya kawaida. Kumbe walivyokua wakiikosoa serikali yeye alikua anauma meno akisema moyoni labda Siku moja nisiwe raisi, maana ikitokea nikawa raisi watakoma. Sasa kawa raisi! niambie mtanzania usiye mnafiki, unaona nini juu ya Magufuli na upinzani? Na je adhma yake itatimia?
Upinzani umeacha kukemea ufisadi.Na mafisadi wanakimbilia huko. Kwahiyo inabidi apambane na vyote viwili kwa maslahi ya taifa.
 
Huyu jamaa hakushinda sasa ili chama kirudi madarakani kaona bora kuwaangamiza upinzani na kuwafanya wawe masikini lakini atakuja kushangaa Wakati wa kampeni upinzani utakuwa na fedha nyingi kuliko chama tawala
 
Hawa watawala wa Africa huwa wanajisahau sana hivi hawasomi history akina mabutu walikuwa na mwisho upi?
 
Jamani naomba waungwana mnisaidie maana ninachokiona huyu bwana pombe amekuja kulipa kisasi kwa wapinzani, ana hasira ambayo sio ya kawaida. Kumbe walivyokua wakiikosoa serikali yeye alikua anauma meno akisema moyoni labda Siku moja nisiwe raisi, maana ikitokea nikawa raisi watakoma. Sasa kawa raisi! niambie mtanzania usiye mnafiki, unaona nini juu ya Magufuli na upinzani? Na je adhma yake itatimia?
Ni kweli lengo lake kuu ni kuwakomoa Wapinzani ndiyo maana kaamua kuchukua mabilioni Hazina kampatia Mkuu wa fitna,uchakachuaji na kamati za Ufundi wa CCM mr January afanye juu chini kwa gharama yeyote kwa kushirikiana na Lipumba wahakikishe kuwa upinzani unakufa kama si kudhoofika kabsa, Wajanja wachache wametajirika kupitia hapo baada ya kugundua kuwa mkulu anawachukia Wapinzani kuliko nyoka cobra,wanabuni bajeti kila kukicha wanachukua pesa kwa kisingizio cha kuzitumia kuwateketeza Wapinzani,ukitaka kula pesa yake nenda na mbinu mpya ya kuua upinzani unapata pesa bila kikwazo.
 
Jamani naomba waungwana mnisaidie maana ninachokiona huyu bwana pombe amekuja kulipa kisasi kwa wapinzani, ana hasira ambayo sio ya kawaida. Kumbe walivyokua wakiikosoa serikali yeye alikua anauma meno akisema moyoni labda Siku moja nisiwe raisi, maana ikitokea nikawa raisi watakoma. Sasa kawa raisi! niambie mtanzania usiye mnafiki, unaona nini juu ya Magufuli na upinzani? Na je adhma yake itatimia?
Anataka watu wake tufanye kazi sio kupuyanga mtaani, na siasa za maji taka
 
Huyu jamaa hakushinda sasa ili chama kirudi madarakani kaona bora kuwaangamiza upinzani na kuwafanya wawe masikini lakini atakuja kushangaa Wakati wa kampeni upinzani utakuwa na fedha nyingi kuliko chama tawala
Kamati ya uchakachuaji ya February wapo busy kubuni mbinu za kuchakachua 2020 na ili wapige pesa wameanza mapema kula pesa kwa kisingizio kuwa ni mchakato wa kwenda na upepo.
 
Upinzani umeacha kukemea ufisadi.Na mafisadi wanakimbilia huko. Kwahiyo inabidi apambane na vyote viwili kwa maslahi ya taifa.

Taja mafisadi waliokimbilia upinzani na walikuwa mafisadi toka wapi. Ni hatua gani amewachukulia hao wapinzani zaidi ya chuki za wazi kwa wale wanaotofautiana naye kiitikadi. Hawq ndio wale wanaleta chuki za kiitijadi ikifika mwisho wa muda wao kiuongozi wanaanza kuleta kama zile za jamaa wa Gambia.
 
Kazi ipi pesa hakuna kwenye mzunguko,huko vijijini kuna ukame mkubwa njaa imetawala.
Unataka pesa ikufuate nyumbani, tatizo wabongo mnapenda slope sana, acheni kulalamika wakati jitihada zenu ni zero, we ushuzi endelea kujamba tu
 
Amekuja kunyoosha nchi..anagusa pale wengine walipopaogopa..hata wakaitwa wadhaifu..anakuja kuondoa ulioitwa uzembe wa chama cha mapinduzi..anayafanya Yale ambayo wengine hawakuthubutu..mf wanafunzi kukaa chini kubakia kuwa historia.. Nchi kumiliki shirika la ndege likiwa na ndege Mpya..kuwajengea wananchi ufahamu kwa kutambua kuwa serikali haiwezi kufanya kila jambo bali wananchi wakiamua mmoja mmoja wanaweza..ofisi za serikali na mashirika ya umma kurudi mikononi mwa wananchi..badala ya watumishi kujiona miungu watu..kudhibiti mapato kuboresha maendeleo badala ya pesa kutapakaa ovyo mitaani..kurudisha heshima ya nchi kwa east Africa, Africa na dunia
 
wadau mbona nchi hii inakoelekea ni giza nene,kwanini tumezubaa tu.huu udiketa unatakiwa kupingwa na kila mmoja wetu.
 
wadau mbona nchi hii inakoelekea ni giza nene,kwanini tumezubaa tu.huu udiketa unatakiwa kupingwa na kila mmoja wetu.
Upi? We ndo u auona peke yako. Au kwa vile mbowe anaambiwa alipe kodi tra basi kwako ndo udikteta!! Makubwa
 
Upi? We ndo u auona peke yako. Au kwa vile mbowe anaambiwa alipe kodi tra basi kwako ndo udikteta!! Makubwa
Hata tundu lisu kawakambia baada ya kuanzisha neno dictator uchwara ameshaona umuhimu wake katika ujenzi wa Tanzania mpya ndo mana anapambana na wakwepa kodi akina mbowe mana hao ndo wanaorudisha maendeleo nyuma. Mwambie ni mbowe ajiuzuru mana ndo kikwazo cha maendeleo Tanzania halafu anajificha kwa mgongo wa upinzani eti anataka kuikomboa Tanzania kumbe anawahadaa nyie nyumba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom