The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,397
- 1,786
Hiyo ni dalili njema ya kushindwa kutimiza ahadi,
Tanzania ya viwanda tutaiona kwenye fiction movies tu.
Anywayzz, vipi mahakama ya waliofeli form four itafunguliwa lini?[emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Upinzani umeacha kukemea ufisadi.Na mafisadi wanakimbilia huko. Kwahiyo inabidi apambane na vyote viwili kwa maslahi ya taifa.Jamani naomba waungwana mnisaidie maana ninachokiona huyu bwana pombe amekuja kulipa kisasi kwa wapinzani, ana hasira ambayo sio ya kawaida. Kumbe walivyokua wakiikosoa serikali yeye alikua anauma meno akisema moyoni labda Siku moja nisiwe raisi, maana ikitokea nikawa raisi watakoma. Sasa kawa raisi! niambie mtanzania usiye mnafiki, unaona nini juu ya Magufuli na upinzani? Na je adhma yake itatimia?
Ni kweli lengo lake kuu ni kuwakomoa Wapinzani ndiyo maana kaamua kuchukua mabilioni Hazina kampatia Mkuu wa fitna,uchakachuaji na kamati za Ufundi wa CCM mr January afanye juu chini kwa gharama yeyote kwa kushirikiana na Lipumba wahakikishe kuwa upinzani unakufa kama si kudhoofika kabsa, Wajanja wachache wametajirika kupitia hapo baada ya kugundua kuwa mkulu anawachukia Wapinzani kuliko nyoka cobra,wanabuni bajeti kila kukicha wanachukua pesa kwa kisingizio cha kuzitumia kuwateketeza Wapinzani,ukitaka kula pesa yake nenda na mbinu mpya ya kuua upinzani unapata pesa bila kikwazo.Jamani naomba waungwana mnisaidie maana ninachokiona huyu bwana pombe amekuja kulipa kisasi kwa wapinzani, ana hasira ambayo sio ya kawaida. Kumbe walivyokua wakiikosoa serikali yeye alikua anauma meno akisema moyoni labda Siku moja nisiwe raisi, maana ikitokea nikawa raisi watakoma. Sasa kawa raisi! niambie mtanzania usiye mnafiki, unaona nini juu ya Magufuli na upinzani? Na je adhma yake itatimia?
Kuja kushtuka anagwanda la lema mkononi na miaka mitano imeisha.Ana beef na wasiyomchagua,Ana beef na wanaomkosoa pia
OVA
Anataka watu wake tufanye kazi sio kupuyanga mtaani, na siasa za maji takaJamani naomba waungwana mnisaidie maana ninachokiona huyu bwana pombe amekuja kulipa kisasi kwa wapinzani, ana hasira ambayo sio ya kawaida. Kumbe walivyokua wakiikosoa serikali yeye alikua anauma meno akisema moyoni labda Siku moja nisiwe raisi, maana ikitokea nikawa raisi watakoma. Sasa kawa raisi! niambie mtanzania usiye mnafiki, unaona nini juu ya Magufuli na upinzani? Na je adhma yake itatimia?
Kamati ya uchakachuaji ya February wapo busy kubuni mbinu za kuchakachua 2020 na ili wapige pesa wameanza mapema kula pesa kwa kisingizio kuwa ni mchakato wa kwenda na upepo.Huyu jamaa hakushinda sasa ili chama kirudi madarakani kaona bora kuwaangamiza upinzani na kuwafanya wawe masikini lakini atakuja kushangaa Wakati wa kampeni upinzani utakuwa na fedha nyingi kuliko chama tawala
Kazi ipi pesa hakuna kwenye mzunguko,huko vijijini kuna ukame mkubwa njaa imetawala.Anataka watu wake tufanye kazi sio kupuyanga mtaani, na siasa za maji taka
Upinzani umeacha kukemea ufisadi.Na mafisadi wanakimbilia huko. Kwahiyo inabidi apambane na vyote viwili kwa maslahi ya taifa.
Unataka pesa ikufuate nyumbani, tatizo wabongo mnapenda slope sana, acheni kulalamika wakati jitihada zenu ni zero, we ushuzi endelea kujamba tuKazi ipi pesa hakuna kwenye mzunguko,huko vijijini kuna ukame mkubwa njaa imetawala.
Upi? We ndo u auona peke yako. Au kwa vile mbowe anaambiwa alipe kodi tra basi kwako ndo udikteta!! Makubwawadau mbona nchi hii inakoelekea ni giza nene,kwanini tumezubaa tu.huu udiketa unatakiwa kupingwa na kila mmoja wetu.
Hata tundu lisu kawakambia baada ya kuanzisha neno dictator uchwara ameshaona umuhimu wake katika ujenzi wa Tanzania mpya ndo mana anapambana na wakwepa kodi akina mbowe mana hao ndo wanaorudisha maendeleo nyuma. Mwambie ni mbowe ajiuzuru mana ndo kikwazo cha maendeleo Tanzania halafu anajificha kwa mgongo wa upinzani eti anataka kuikomboa Tanzania kumbe anawahadaa nyie nyumba.Upi? We ndo u auona peke yako. Au kwa vile mbowe anaambiwa alipe kodi tra basi kwako ndo udikteta!! Makubwa