Utabiri gani ,, wa jamaa yupi?Nimekomea kusoma pale ulipoandika "MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU",
To be honest najitahidi sana kumpenda mtukufu ila nashindwa kabisa,
nimeshindwa kumpenda na sijui kama ipo siku nitampenda,
sometime naomba ule utabiri wa yule jamaa utimie tu maana hamna namna
kuna jamaa mmoja alikuwa nyuma ya nondo takribani miezi minne ila taarifa zilizopo ni kwamba yupo nje kw dhamana.Utabiri gani ,, wa jamaa yupi?
Mt una chuki, visasi, ubaguzi, wivu, husuda, muongo, mlaghai, mchoyo, mkandamizaji na bado unasimama kwenye majukwaa na kusema niombeeni kwa Mungu! Magu hauko serious.
Hebu tazama, ulovyomtesa Lema unadhani uko salama kwa Mungu?
Hebu tazama ulivyo mbinafsi unajenga uwanja kijijini chato kwa mabilion ya Kofi za wanyonge; unahaki ya kumtaja Mungu?
Ukiwa hadharani unawaambia machinga rudini kwenye maeneo yenu, ukiwa kwenye vikao vyako vya ndani unaawambia wahusika tandikeni tu, (huoni huo ni unafikia Wa level ya PHD?
Ukisimama kwenye mikutano ya siasa zako chafu unasema CCM ni wangu CDM ni wangu, lakini ukiona Lisu amepitishwa kugombea TLC unasema eti Mimi nipitishe jina LA mtu Wa chama kile "never" huoni umechukua nafasi ya Mungu?
Hata Mimi ninaye kuambia ukweli unatamani unifukie ardhini mbali na USO Wa dunia, je unawezaje kusema msemakweli ni mpenzi Wa Mungu?
M nashindwa kuelewa wewe ni mwadamu Wa aina gani ambaye hata Mara moja maneno yako hayafanani kabisa na matendo
Mkuu haya yatawezekana siku tukipata viongozi wenye vision,si hawa wanaofikiria kuendelea kukaa madarakani ili wapate au kulinda makaburi yao badala ya maendeleo ya nchi yetuNilidhani kwa ukubwa wa nchi yetu na utajiri tulio nao hadi sasa yafuatayo yangekua yameanza kufanyima
1.Mifumo ya umwagiliaji wa kisasa wa mashamba makubwa (Irrigation system)ambao wakulima hawatategemea mvua za msimu
2.Miundo mbinu muhimu ie《inayoelekea maeneo yote muhimu ya uwekezaji wa kilimo hiki cha kisasa na umwagiliaji wa uhakika
3.Wataalamu wa kilimo cha kisasa chenye uzalishaji mkubwa wa mazao bora wakipewa training ili wasambae sehemu zote zenye tija ya kilimo kuwapa mafuzo wakulima.
4.Maandalizi ya uhakika wa soko la mazao haya ambayo hayana unyonyaji wowote kwa mkulima na bei bora bila mwingiliano wowote wa madalari.
5. MIKOPO yenye riba nafuu kwa wakulima hao ambao kwa maandalizi tajwa hapo juu mikopo hiyo italipika kwani hawatategemea mvua tuu na watakua na uhakika wa soko
6.Uwekezaji kwenye utafiti wa kilimo
7. Ruzuku ya pembejeo za kilimo, na usafirishaji wa mazao hadi kwenye masoko makubwa.
Niilitegemea haya mambo muhimu yanayo onekana kwa macho kila unapo pita mikoani yangeonekana.
VIWANDA
Nilitegemea maandalizi hayo ya kilimo hapo juu yangeenda sambamba na Ujenzi wa viwanda ambavyo vingenunua mazao hayo kutoka kila kona ya nchi na kutengeneza final products zenye ubora wa ku compete sokoni na zingine kuuzwa nchi za nje.
So hii LINK kati kilimo na viwanda ingetengeneza uhakika wa ajira nyiiiingi na endelezi
Ningeyaona haya kila sehemu ninapo safiri toka Mbeya hadi Arusha
Kigoma hadi Dar
Sasa ningetangaza rasmi kwamba naiona TANZANIA MPYA YENYE NEEMA INAKUJA NA NAAMINI BAADA YA MIAKA MITANO MAISHA YA MTANZANIA YANAENDA KUBADILIKA SANA
Natamani sana haya maandalizi yaanze
La sivyo Miaka mitano ni michache sana kudhani kwamba BILA HAYA KUFANYIKA
kwenye orodha ya viwanda tutakuta hadi biashara za wamachinga nazo zinahesabiwa kama viwanda ili mradi kuongeza namba ya viwanda.
Viwanda vingi vinajengwa na kufufuliwa. Vuta subira.Nilidhani kwa ukubwa wa nchi yetu na utajiri tulio nao hadi sasa yafuatayo yangekua yameanza kufanyima

Ni kweli kabisa na viongozi hao ni lowassa kingunge masha mahanga na sumayeMkuu haya yatawezekana siku tukipata viongozi wenye vision,si hawa wanaofikiria kuendelea kukaa madarakani ili wapate au kulinda makaburi yao badala ya maendeleo ya nchi yetu

Unarudisha Jibu tena!Wewe binafsi umeanza kufanya nini kupaisha chochote katika hayo?
Au unamsubiri nani?
Mimi ni mmoja wapo wa watanzania ambao mwaka jana tuli chukua mikopo Bank kwa ajili ya kilimoWewe binafsi umeanza kufanya nini kupaisha chochote katika hayo?
Au unamsubiri nani?
Umemjibu vizuri sana.. tegemea kuja kukujibu utumbo badala ya kukujibu kwa hoja.Mimi ni mmoja wapo wa watanzania ambao mwaka jana tuli chukua mikopo Bank kwa ajili ya kilimo
Wengine mazao yalikauka kwa kukosa mvua
Wengine mazao yalikauka kwa kutopata ushauri wa kitaalamu baadaya kuambiwa ardhi husika hai endani na zao hilo
Wengine walivuna sana nyanya na zikaoza kwa kukosa soko wakati sehemu nyingi za kenya hawakua na nyanya
So mimi na wakulima wenzangu
tulikosa yafuatayo:
Soko la uhakika
Wataalamu wa ushauri wa kilimo
Umwagiliaji wa kisasa
Mikopo nafuu
Miundo mbinu ya kufikisha mali sokoni kwa haraka
Haya ndo mambo ambayo mimi kama mimi nisingeweza kuyafanya na ndipo sasa serikali inatakiwa iingilie kati
Ndo maana nikasema kama haya yangefanyika mimi na wakulima wenzangu tungeuza sana na kulipa mkopo wote ndani ya miezi miwili
Matokeo yake tumeuza ardhi na mashamba ili tulipe deni la BANK
tumerudi kwenye umaskini zaidi
Mkuu sisi tulifanya sehemu yetu.