Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nimekomea kusoma pale ulipoandika "MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU",

To be honest najitahidi sana kumpenda mtukufu ila nashindwa kabisa,

nimeshindwa kumpenda na sijui kama ipo siku nitampenda,

sometime naomba ule utabiri wa yule jamaa utimie tu maana hamna namna
Utabiri gani ,, wa jamaa yupi?
 
Wakuu hali ya maisha imekua ngumu sana, serekale (ki magufulili voice) badala ya kutafuta muafaka wa upatianaji wa ajira, kutatua shida za maji, elimu duni nk. ndo kwanza imeendele na wimbo wa kutumbua majipu. kwa hali hii serekale ya viwanda tutaishia kwenye viwanda Hewa na elimu hewa, naona 2020 kama mbali sana.... Twafaaa.
 
kaka striker, mie wasiwasi wangu ni kuhusu walimu, nimeona walimu walilalamika sana, na hawa ni wa kutiliwa mkazo na kusikilizwa, nina wasiwasi elimu yetu ikazidi kushuka kuliko hata mwaka jana, nina wasiwasi sana, hawa sio watu wa kuwafanyia mzaha kabisa kwa kuingiza siasa,
 
Hili la kutumia nguvu kwa kila kitu sijui limekaaje, kudharau taaluma ya Mtu sijui ni nini kitatokea, sijui, naona mbele kuna hatari kubwa inakuja.
Moja: Sijui kama kazi hizi za kulazimishana bila kuangalia changamoto za kazi yenyewe zitafanyika kwa Moyo thabiti,
Mwalimu unamnyanyasa na kumpa maneno ya Dharau,
Dactari hivyohovyo,
Mwanasheria,
Majaji,
Wabunge,
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa,
Madiwani,
Wote hawa katika awamu hii ya Tano kazi zao ni kudharaulika tu, hawana umuhimu kwa Jamii ya Watanzania,

Awamu hii Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa wilaya ndio Viongozi wa kuongea na kufanya chochote,

Sasa kwa kifupi nikiangalia Picha ya mbele endapo hawa wanaodharaulika wakaamua au wakashindwa kufanya kazi zile za Taaruma zao ipasavyo kitatokea nini, naona kuna matokeo mabaya sana.

Mungu atusaidie, CCM tunaomba hii Miaka 5 ni mingi sana, inatosha kuangamiza, kutesa, Kudumaza kila kitu ambacho kimetengenezwa kwa Miaka 50 ilyo pita, kwanza Umoja unakufa, Ubinadamu unakufa, Chuki.

Upinzani wameliona hilo ndio maana wanajaribu kutumia Mahakama kutetea Wananchi , ingawaje mahakama zilionekana kutumika kukandamiza Haki sasahivi mapambano yameongezeka sana. Walitaka kutumia njia za Maandamano na Mikutano lakini waligundua huyu mtu hana huruma na kumwaga damu za Watanzania, Hicho ndicho kilichopo, Sasa kama kiongozi wa nchi anakuwa hana huruma na kumwaga damu na Mpinzania kuwa na huruma sijui tunawezaje kuwa salama, CCM sitaki kuwaambia mfanye nini, mnajua usalama wa Chama chenu ni upi, Chama kazi yake kutetea haki ya Mwananchi? au kukandamiza Haki ya Mwananchi.

Kwa pamoja tujenge Nchi yetu, CCM, Chadema, Cuf, NCCR na wenyineo,
Asanteni
 
Mt una chuki, visasi, ubaguzi, wivu, husuda, muongo, mlaghai, mchoyo, mkandamizaji na bado unasimama kwenye majukwaa na kusema niombeeni kwa Mungu! Magu hauko serious.

Hebu tazama, ulovyomtesa Lema unadhani uko salama kwa Mungu?

Hebu tazama ulivyo mbinafsi unajenga uwanja kijijini chato kwa mabilion ya Kofi za wanyonge; unahaki ya kumtaja Mungu?

Ukiwa hadharani unawaambia machinga rudini kwenye maeneo yenu, ukiwa kwenye vikao vyako vya ndani unaawambia wahusika tandikeni tu, (huoni huo ni unafikia Wa level ya PHD?

Ukisimama kwenye mikutano ya siasa zako chafu unasema CCM ni wangu CDM ni wangu, lakini ukiona Lisu amepitishwa kugombea TLC unasema eti Mimi nipitishe jina LA mtu Wa chama kile "never" huoni umechukua nafasi ya Mungu?

Hata Mimi ninaye kuambia ukweli unatamani unifukie ardhini mbali na USO Wa dunia, je unawezaje kusema msemakweli ni mpenzi Wa Mungu?

M nashindwa kuelewa wewe ni mwadamu Wa aina gani ambaye hata Mara moja maneno yako hayafanani kabisa na matendo
 
Pole sana,umeongea kwa hasira sana.Tabia ya mtu haijalishi cheo au dhamana aliyopewa.

Chuki,Visae na ubaguzi vitakuja kutumaliza huko mbele ya safari ni wakati umefika kusema imetosha sasa.
 
Wakuu,

Kwa maneno haya mnafikiri tafsiri ya neno "uchapakazi" anaouzungumzia JPM ni IPI???

"Siku hizi ukiwa "mchapakazi" unakuwa hupendwi-pendwi hivi. Wewe usijali kuchukiwa, "CHAPA KAZI". Nakuomba usifuatilie hata maneno ya mitandaoni. Mimi huwa siangalii kabisa hiyo mitandao"

Swali ninaojiuliza ni Je, ni kweli watanzania tumefikia hatua hii ya kuwachukia wachapakazi? Ni kweli tunaweza kumchukia Muhongo kwa kusambaza umeme nchi nzima????

Au alimaanisha kitu kingine?
 
JPM mara nyingi anaonekana kama mtu mwenye hasira sana na watanzania, sijui tulimkosea nini huyu Mzee.
 
Kupania mambo ni tatizo la kwanza. Na kupata ulichopania kwa ngekewa huwewesesha sana. Ila funga kazi ni pale unapotaka kutembea njia zote mbili ukianzia njia panda.
 
Nilidhani kwa ukubwa wa nchi yetu na utajiri tulio nao hadi sasa yafuatayo yangekua yameanza kufanyima
1.Mifumo ya umwagiliaji wa kisasa wa mashamba makubwa (Irrigation system)ambao wakulima hawatategemea mvua za msimu
2.Miundo mbinu muhimu ie《inayoelekea maeneo yote muhimu ya uwekezaji wa kilimo hiki cha kisasa na umwagiliaji wa uhakika

3.Wataalamu wa kilimo cha kisasa chenye uzalishaji mkubwa wa mazao bora wakipewa training ili wasambae sehemu zote zenye tija ya kilimo kuwapa mafuzo wakulima.
4.Maandalizi ya uhakika wa soko la mazao haya ambayo hayana unyonyaji wowote kwa mkulima na bei bora bila mwingiliano wowote wa madalari.
5. MIKOPO yenye riba nafuu kwa wakulima hao ambao kwa maandalizi tajwa hapo juu mikopo hiyo italipika kwani hawatategemea mvua tuu na watakua na uhakika wa soko
6.Uwekezaji kwenye utafiti wa kilimo
7. Ruzuku ya pembejeo za kilimo, na usafirishaji wa mazao hadi kwenye masoko makubwa.

Niilitegemea haya mambo muhimu yanayo onekana kwa macho kila unapo pita mikoani yangeonekana.

VIWANDA

Nilitegemea maandalizi hayo ya kilimo hapo juu yangeenda sambamba na Ujenzi wa viwanda ambavyo vingenunua mazao hayo kutoka kila kona ya nchi na kutengeneza final products zenye ubora wa ku compete sokoni na zingine kuuzwa nchi za nje.
So hii LINK kati kilimo na viwanda ingetengeneza uhakika wa ajira nyiiiingi na endelezi

Ningeyaona haya kila sehemu ninapo safiri toka Mbeya hadi Arusha

Kigoma hadi Dar
Sasa ningetangaza rasmi kwamba naiona TANZANIA MPYA YENYE NEEMA INAKUJA NA NAAMINI BAADA YA MIAKA MITANO MAISHA YA MTANZANIA YANAENDA KUBADILIKA SANA

Natamani sana haya maandalizi yaanze
La sivyo Miaka mitano ni michache sana kudhani kwamba BILA HAYA KUFANYIKA
kwenye orodha ya viwanda tutakuta hadi biashara za wamachinga nazo zinahesabiwa kama viwanda ili mradi kuongeza namba ya viwanda.
 
Mkuu haya yatawezekana siku tukipata viongozi wenye vision,si hawa wanaofikiria kuendelea kukaa madarakani ili wapate au kulinda makaburi yao badala ya maendeleo ya nchi yetu
 
Mawazo mazuri sana ila sidhani kama yana kipaumbele kwa term hii
n/waziri wa afya yupo busy instagram kufukuzana na mapunga
waziri wa sheria yupo busy kufukuzana na TL
waziri wa kilimo yupo busy kupinga kama kuna ukame na njaa
waziri wa mazingira yupo busy kila mwanafunzi apande miti
waziri wa viwanda yupo busy anapiga sound😀😀

zaidi bwana yule yupo busy na firing and hiring😀😀😀😀
 
Nilidhani kwa ukubwa wa nchi yetu na utajiri tulio nao hadi sasa yafuatayo yangekua yameanza kufanyima
1.Mifumo ya umwagiliaji wa kisasa wa mashamba makubwa (Irrigation system)ambao wakulima hawatategemea mvua za msimu
2.Miundo mbinu muhimu ie《inayoelekea maeneo yote muhimu ya uwekezaji wa kilimo hiki cha kisasa na umwagiliaji wa uhakika

3.Wataalamu wa kilimo cha kisasa chenye uzalishaji mkubwa wa mazao bora wakipewa training ili wasambae sehemu zote zenye tija ya kilimo kuwapa mafuzo wakulima.
4.Maandalizi ya uhakika wa soko la mazao haya ambayo hayana unyonyaji wowote kwa mkulima na bei bora bila mwingiliano wowote wa madalari.
5. MIKOPO yenye riba nafuu kwa wakulima hao ambao kwa maandalizi tajwa hapo juu mikopo hiyo italipika kwani hawatategemea mvua tuu na watakua na uhakika wa soko
6.Uwekezaji kwenye utafiti wa kilimo
7. Ruzuku ya pembejeo za kilimo, na usafirishaji wa mazao hadi kwenye masoko makubwa.

Niilitegemea haya mambo muhimu yanayo onekana kwa macho kila unapo pita mikoani yangeonekana.

VIWANDA

Nilitegemea maandalizi hayo ya kilimo hapo juu yangeenda sambamba na Ujenzi wa viwanda ambavyo vingenunua mazao hayo kutoka kila kona ya nchi na kutengeneza final products zenye ubora wa ku compete sokoni na zingine kuuzwa nchi za nje.
So hii LINK kati kilimo na viwanda ingetengeneza uhakika wa ajira nyiiiingi na endelezi

Ningeyaona haya kila sehemu ninapo safiri toka Mbeya hadi Arusha

Kigoma hadi Dar
Sasa ningetangaza rasmi kwamba naiona TANZANIA MPYA YENYE NEEMA INAKUJA NA NAAMINI BAADA YA MIAKA MITANO MAISHA YA MTANZANIA YANAENDA KUBADILIKA SANA

Natamani sana haya maandalizi yaanze
La sivyo Miaka mitano ni michache sana kudhani kwamba BILA HAYA KUFANYIKA
kwenye orodha ya viwanda tutakuta hadi biashara za wamachinga nazo zinahesabiwa kama viwanda ili mradi kuongeza namba ya viwanda.
Viwanda vingi vinajengwa na kufufuliwa. Vuta subira.
 
Mkuu haya yatawezekana siku tukipata viongozi wenye vision,si hawa wanaofikiria kuendelea kukaa madarakani ili wapate au kulinda makaburi yao badala ya maendeleo ya nchi yetu
Ni kweli kabisa na viongozi hao ni lowassa kingunge masha mahanga na sumaye
 
Wewe binafsi umeanza kufanya nini kupaisha chochote katika hayo?

Au unamsubiri nani?
 
Mimi ni mmoja wapo wa watanzania ambao mwaka jana tuli chukua mikopo Bank kwa ajili ya kilimo
Wengine mazao yalikauka kwa kukosa mvua
Wengine mazao yalikauka kwa kutopata ushauri wa kitaalamu baadaya kuambiwa ardhi husika hai endani na zao hilo
Wengine walivuna sana nyanya na zikaoza kwa kukosa soko wakati sehemu nyingi za kenya hawakua na nyanya

So mimi na wakulima wenzangu
tulikosa yafuatayo:

Soko la uhakika
Wataalamu wa ushauri wa kilimo
Umwagiliaji wa kisasa
Mikopo nafuu
Miundo mbinu ya kufikisha mali sokoni kwa haraka

Haya ndo mambo ambayo mimi kama mimi nisingeweza kuyafanya na ndipo sasa serikali inatakiwa iingilie kati

Ndo maana nikasema kama haya yangefanyika mimi na wakulima wenzangu tungeuza sana na kulipa mkopo wote ndani ya miezi miwili

Matokeo yake tumeuza ardhi na mashamba ili tulipe deni la BANK
tumerudi kwenye umaskini zaidi

Mkuu sisi tulifanya sehemu yetu.
 
Umemjibu vizuri sana.. tegemea kuja kukujibu utumbo badala ya kukujibu kwa hoja.
BTW nimependa ushauri wako kwa serikali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom