Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Neema ipi wakati kafuta ajira? Kawanyima watoto weng mikopo? Helsb 15% tunaelekea wapi? Km haya yote yamemshinda. Au huyo Lissu ndiyo neema mwenyew?
siku moja Lissu akitangaza kugombea urais 2020 nadhani mbingu zitashuka kumpongeza. huo ndio utakuwa ukombozi wa kweli.
 
Sa sijui itakuwa lini cz wengine hapa tunaomba abadili katiba atawale mpaka 2030. Akibadili katiba ntalukaluka mpaka miguu ivunjike.
 
Sa sijui itakuwa lini cz wengine hapa tunaomba abadili katiba atawale mpaka 2030. Akibadili katiba ntalukaluka mpaka miguu ivunjike.
watu wa aina yako mko wachache kwani hata huko kwenye chama chenu watu lukuki wamemchoka.
 
Mimi naamini hata hicho kipindi cha kuongoza miaka 10 hatokimaliza salama akiendelea huu udikteta wake.
 
Kwa pressure unayojipa,si ajabu ukafa kabla ya Magufuli kumaliza muda wake
 
Pole sana kwa sababu tumeisha amua kumpatia muda wa kutosha, miaka kumi haitoshi kuinyoosha nchi iliyopindishwa kwa miaka 50!, hivyo tumependekeza tumpe angalau miaka 20 or indefinite term kama ya Mugabe, Museveni na Kagame.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Hivyo utasubiri sana! .
Paskali
 
Kukaya nampala!!!!tujage geteeeeee!hamo wasaya.Dah! Ninapita tu ila ninatamani goko atawale hadi miaka mia moja tu baada ya hapo tunamuachia mtoto wa TLSU.
 
Yaan hadi Leo sijaelewa lengo la magufuli ni nini...mwanzoni wakat anahakiki wafanyakaz hewa na kutumbua majipu mbali mbali nikajua soon mambo yatakuwa mazuri

Kumbe kila kukicha afadhali ya Jana dah
 
Maguful atamaliza 2020 atapigiwa kura tena atashinda. Tuweni wavumilivu tu mpaka 2025
 
m ntajitahidi kufanya sherehe nzuri cku iyo tuombe uzima tu cjawahi kumwelewa kbsa uyu mtu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…