The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
Ndugu zangu, kwanza niwasabahi, najaribu kujiuliza aina hii ya utawala wa sasa unatumia mfumo upi, lakini naambulia kuona mfumo mfanano wake ni ule wa Kisoshalist.
Si semi hauna mazuri but, jinsi unavyoenda kuna hali ya hatari mbeleni.
Kuminywa kwa uhuru wa kujieleza na kukamatwa raia halali wanapoandika ktk mitandao si dalili njema kamwe.
Chief anaweza kuwa na nia nzuri but kuwanyima raia uhuru wa kueleza hisia zao ni uvunjifu wa haki.
Kwa karne hii kuwa na mawazo ya kuzuia umma kusema ama kutoa hisia zao si sahihi kamwe.
Kuwa na Naibu Spika aina ya Miss Tulia, ni janga jingine.