mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Siyo kweli! Bandiko liko poa tu! Linataka watu wanaoweza kufikiri nje ya box la vyama hata kama wanavyo! Huu ni muunganiko wa wazalendo wa kweli! Watu wenye uchungu wa kweli na nchi yao! Watu wanaotanguliza utu mbele na maslahi nyuma!Bandiko lako lingesomeka tusio kuwa na vyama tukutane hapa!
Vugu vugu lianze mapema! Tuanze kwa kudai katiba mpya kama ilivyopendekezwa na wananchi kupitia tume ya Warioba! Ina kipengele cha mgombea binafsi!Kwa kweli kuna umuhimu wa kuungana na yeyote yule aliye madhubuti na tayari kuwaondoa huyu mkoloni mweusi Tanzania.
Tukutane 2020 tukinia mamoja.
Together we can.
Hapana! Umoja wetu utakuwa na nguvu kuliko risasi!Tuunde jeshi letu
Wewe umetoa bonge la point! Tujenge uelewa wa ndugu zetu walioko vijijini kwa kuwapasha habari lupitia mitandao ya kijamii! Kila mtu ahakikishe kuwa familia yake iliyoko kijijini wanakuwa na smartphone na tunawaunganisha kwenye mitandao ya kijamii na tunakuwa tunawalipia bando hata Mara moja moja!Wanunulieni ndugu zenu smartphone ziko mpaka za alfu 60,wawe wanaingia mitandaoni kutoa tongotongo
Haina tena wafuasi wa hiari! Wamebaki wale ambao maslahi yao ya moja kwa moja yanategemea ccm kama Bashite!Kwa akili yako ndogo unadhani ccm haina watu?Huwezi kuitoa ccm madarakani kwa kukutana jamii forums
Unaota,na ndio makosa mnayoyafanya kila mwaka ku under estimate uwezo wa ccm,mkiangukia pua mnalalamika mmeibiwa kura.Haina tena wafuasi wa hiari! Wamebaki wale ambao maslahi yao ya moja kwa moja yanategemea ccm kama Bashite!
Wengi tunaumizwa na serikali hii ya awamu ya tano. Tunakatishwa tamaa na serikali hii ya awamu ya tano. Tunapuuzwa. Tunaonewa. Tunadhalilishwa. Tunadhihakiwa. Ndugu zetu wanapotea. Ndugu zetu wanaumizwa. Ndugu zetu wananyanyaswa. Ndugu zetu wanatishwa. Hakuna wa kuwatetea. Hakuna anayejali.
Tupeanae faraja. Tujengane kisaikolojia. Tuungane kwa maumivu yetu. Tutafute majibu kwa pamoja. Tutafute adhabu inayostahili kwa serikali ya awamu ya tano.
Wafanyabiashara. Mama ntilie. Wafanyakaz/watumishi. Wakulima. Wafugaji. Wavuvi. Madereva. Wakandarasi. Vijana. Akina mama. Wazee. Wasomi. Wanaolala njaa. Tuungane, tuiadhibu CCM na serikali yake.
Hatuwezi kukombolewa na vyama vya upinzani. Hatuwezi kukombolewa na wazungu. Hatuwezi kukombolewa na Mbowe ,Maalim ,Lipumba wala Zitto. Hatuwezi kukombolewa na CHADEMA, CCM, CUF. Hatuwezi kukombolewa na Rais Magufuli.
Njia pekee ya kujikomboa ni kuungana. Ni kupambana na kila fikra hasi bila kujali imetolewa na nani. Njia pekee ni kuamua leo ni namna gani tuendeshwe sio wao watuamulie namna gani watuendeshe. Muda ni sasa. Tuchukue hatua. Tujikomboe.
Kila kundi tuna wajibu wa kujikomboa kwa kuweka tofauti zetu pembeni na kuungana.
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Africa.
mawazo yako binfsi,hayawakilishi watanzania million 50.
sisi wengine tuna mitizamo tofauti kabisa
si wote, na wengi kivile,umefanya tafiti wangapi wasomaji idadi ndani ya jukwaa?
Sehumu nilipo mimi hata jamii forum hawajui ni nini na faida ipi,amini nakwambia.wapo bize na movi za mieleka na vita+mpira wamemaliza.
Go to hell mother***cker saa yy Ndio comnder in chief, yy Ndio tumempa dhamana ya kutuongoza?, yy Ndio anakusanya kodi zetu!?, Au unafikir kwa kutumia makalio!? Pumbafu wahedWewe tangu uzaliwe ni jambo gani la maana umeshafanya ?
Nilijua tu, Matusi ndio SERA ya BAVICHAGo to hell mother***cker saa yy Ndio comnder in chief, yy Ndio tumempa dhamana ya kutuongoza?, yy Ndio anakusanya kodi zetu!?, Au unafikir kwa kutumia makalio!? Pumbafu wahed